Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Lori aina ya Fuso, likiendeshwa na 'tanboy', baada ya kumuomba dereva funguo la gari na dereva kumkatalia, lakini alichukuwa kwa nguvu funguo. Fuso hilo lilivamia maduka hayo, katikati ya jiji kwenye mtaa wenye maduka mengi ya Barabara 13. Kwa mujibu wa mleta habari hizi, hakukutokea kifo wala majeruhi na mpaka sasa haijajulikana ni hasara kiasi gani kilichopatikana.