Hitler

1974hrs

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
741
536
Uwezo wa Adolf Hitler ulimfanya kuishawishi ujerumani kumpa madaraka!kwa kutumia madaraka yake aliikuta sheria iliyokuwa haitekelezwi na watangulizi wake,yeye aliamua kutekeleza sheria ile bila kujali madhara yake.Akaamua kuwaua wayahudi kwa kuwachoma katika tanuru na kuifanya dunia ihamaki kulinda haki za binadamu,ukawa ndio mwanzo wa vita kuu ya pili ya dunia..
Nomba kuwakilisha..
 
Watawala madiketa wote huwafanya wananchi wake masikini. Kwa nguvu za kimamlaka walizonazo huamua kufuta ajira ili watu wazid kumuona km mungu mdogo ila mwisho wao huishia pabaya km Hitler, Mussolin, Gadaf na wengine wengi
Je, leo wapo wapi? MUDA UTASEMA
 
Back
Top Bottom