Kwa kauli Hii, Magufuli Wewe ni JEMBE

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,132
Kuna mtu / watu wanajaribu kutetea wauza unga mpka najiuliza " Hivi Watanzania kwnn ni VICHWA MAJI?
Chokochoko dhidi ya RC Makonda khusu vyeti imeletwa na mtuhumiwa Yule Mpuuzi, maana hana hadhi ya UCHUNGAJI hta kdogo, yaani hata
Kidogo, hii ndyo maana ya mchungaji

Mchungaji mwema yukoje?

Lazima ifike wakati ujifikilie mbna Pengo au Sheik Musa au Mufti Zuberi hakutajwa? Mbn alivyotajwa yy Amepanic? Kwnn hakuwa mfano wa kusema "Namuachia mungu, maana tunajua watumishi wa mungu ni watu wa kusamehe na kutojali mambo ya kilimwengu "
Na jiulize mchungaji Mbona alimtuka Kadinali Pengo?
Mchungaji gani akiwa madhabahuni kazi yake Kuzungumzia maisha ya watu??
Hapo Utapata Majibu Kwmba Gwajima cyo Mchungali ila MNAIBIWA SADAKA

Sasa kauli ya Mheshimiwa Rais ya Makonda Achape kazi nimeipenda
Watanzania Tunataka Huduma za Afya, Maji, elimu, Umeme nk
Hizo Habari za cjui Makonda kafoji vyeti Bibi yangu kule Msoga hazimsaidii hata kidogo

Kuna wapuuzi wanasema

Namuona Nape mpya kwenye gwanda

Khaaa CCM ina wenyeww hata Kikwete alisema
Huyo Nape ni kama Sufu tuu Vijana wapo wengi UVCCM na kna majembe mengi tuu Ndani ya CCM,labda Nikukumbushe tuu
1.Mrisho Gambo ( Jembe Ulaya)
2.Polepole
3.Majid Mwanga
4.Ally Kesi
5.Godwin Gondwe
6.Eric Shigongo
7.Kasesera
8.Kangi Lugola
9.Davis Mosha( Tajiri)

Note that CCM haitishwi na Ina wenyewe
 
acha ujinga, huna hata aibu,
 
Hebu acha kudhalilisha watu jembe jembeeee sifa kuu ya jembe ni kuchomekwa mpini katikati ndio lifanye kazi
 
Kuna mtu / watu wanajaribu kutetea wauza unga mpka najiuliza " Hivi Watanzania kwnn ni VICHWA MAJI?
Chokochoko dhidi ya RC Makonda khusu vyeti imeletwa na mtuhumiwa Yule Mpuuzi, maana hana hadhi ya UCHUNGAJI hta kdogo, yaani hata
Kidogo, hii ndyo maana ya mchungaji

Mchungaji mwema yukoje?

Lazima ifike wakati ujifikilie mbna Pengo au Sheik Musa au Mufti Zuberi hakutajwa? Mbn alivyotajwa yy Amepanic? Kwnn hakuwa mfano wa kusema "Namuachia mungu, maana tunajua watumishi wa mungu ni watu wa kusamehe na kutojali mambo ya kilimwengu "
Na jiulize mchungaji Mbona alimtuka Kadinali Pengo?
Mchungaji gani akiwa madhabahuni kazi yake Kuzungumzia maisha ya watu??
Hapo Utapata Majibu Kwmba Gwajima cyo Mchungali ila MNAIBIWA SADAKA

Sasa kauli ya Mheshimiwa Rais ya Makonda Achape kazi nimeipenda
Watanzania Tunataka Huduma za Afya, Maji, elimu, Umeme nk
Hizo Habari za cjui Makonda kafoji vyeti Bibi yangu kule Msoga hazimsaidii hata kidogo

Kuna wapuuzi wanasema

Namuona Nape mpya kwenye gwanda

Khaaa CCM ina wenyeww hata Kikwete alisema
Huyo Nape ni kama Sufu tuu Vijana wapo wengi UVCCM na kna majembe mengi tuu Ndani ya CCM,labda Nikukumbushe tuu
1.Mrisho Gambo ( Jembe Ulaya)
2.Polepole
3.Majid Mwanga
4.Ally Kesi
5.Godwin Gondwe
6.Eric Shigongo
7.Kasesera
8.Kangi Lugola
9.Davis Mosha( Tajiri)

Note that CCM haitishwi na Ina wenyewe

Muuza unga mchungaji akiguswa lazima atatokwa na povu tu....yule jamaa mwacheni aendeleee kuzaa na waumini wake misukule.
 
Sisi tunadili na vyeti vya makonda wenyewe wamekazana kupitisha unga na kuendelea kutajirika
 
Kuna mtu / watu wanajaribu kutetea wauza unga mpka najiuliza " Hivi Watanzania kwnn ni VICHWA MAJI?
Chokochoko dhidi ya RC Makonda khusu vyeti imeletwa na mtuhumiwa Yule Mpuuzi, maana hana hadhi ya UCHUNGAJI hta kdogo, yaani hata
Kidogo, hii ndyo maana ya mchungaji

Mchungaji mwema yukoje?

Lazima ifike wakati ujifikilie mbna Pengo au Sheik Musa au Mufti Zuberi hakutajwa? Mbn alivyotajwa yy Amepanic? Kwnn hakuwa mfano wa kusema "Namuachia mungu, maana tunajua watumishi wa mungu ni watu wa kusamehe na kutojali mambo ya kilimwengu "
Na jiulize mchungaji Mbona alimtuka Kadinali Pengo?
Mchungaji gani akiwa madhabahuni kazi yake Kuzungumzia maisha ya watu??
Hapo Utapata Majibu Kwmba Gwajima cyo Mchungali ila MNAIBIWA SADAKA

Sasa kauli ya Mheshimiwa Rais ya Makonda Achape kazi nimeipenda
Watanzania Tunataka Huduma za Afya, Maji, elimu, Umeme nk
Hizo Habari za cjui Makonda kafoji vyeti Bibi yangu kule Msoga hazimsaidii hata kidogo

Kuna wapuuzi wanasema

Namuona Nape mpya kwenye gwanda

Khaaa CCM ina wenyeww hata Kikwete alisema
Huyo Nape ni kama Sufu tuu Vijana wapo wengi UVCCM na kna majembe mengi tuu Ndani ya CCM,labda Nikukumbushe tuu
1.Mrisho Gambo ( Jembe Ulaya)
2.Polepole
3.Majid Mwanga
4.Ally Kesi
5.Godwin Gondwe
6.Eric Shigongo
7.Kasesera
8.Kangi Lugola
9.Davis Mosha( Tajiri)

Note that CCM haitishwi na Ina wenyewe
Uandishi wako una mapungufu mengi,pengine inaonesha huna hata cheti cha darasa la saba.
 
You are not alone... ni kweli ccm ina wenyewe...ila issue hao wenyewe wanaleta impact gani kwa wananchi..!!!
 
Bora kuwa na kiongozi mlemavu wa mwili, aliyepooza lakini ana akili timamu kuliko kuwa na kiongozi mwenye nguvu anapiga pushup mia mbili lakini network hazisomi kichwani..
Bahati mbaya zaidi utakuta wewe ndo network zimekata.yamkini tukakukuta hata familia yako umekushinda,hawali wanachota wala hawavai wanachotaka sembuse kuongoza nchi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom