NIMEAMUA KURUDI
Ndoto za mafanikio, na hadithi tamutamu,
Zimegeuka kilio, na ilishaniisha hamu,
Sijaona kimbilio,hali imekuwa ngumu,
Nimeamua kurudi, sina kitu mkononi.
Yaniumiza safari, iliyojaa...
Usafirishaji wa mchanga wa dhahabu unatokana na mikataba mibovu ambayo nchi zetu za kiafrika ziliingia na makampuni ya madini. Usafirishaji huu uleta madhara mbalimbali kwa uchumi wa nchi ikiwemo...
Habari wakuu
Dhambi ni nini?
Dhambi ni tendo, hisia au wazo lolote linalopingana na sheria au matakwa ya Mungu
Kwa kifupi Dhambi ni aina yoyote ya kosa ambalo mwanadam analifanya iwe kwa...
Mimi ni mgeni huko nipeni maelekezo gari nzuri za kutoka Dar kwenda Mbeya sehemu nzuri za kufikia mbeya mjini ambao malazi ni rahisi na usalama mzuri, nataka nikatembee Green city Pasaka hii, na...
Ndugu zangu muliopewa dhamana ya kuhakiki vyeti ktk ofisi za umma acheni kuwaonea ndugu zenu .
1: hili zoezi halina Maana mpaka mkuu atapotuonyesha vya makonda
2:mumeshuhudia wenyewe mkuu akiamua...
Limekuwa taifa la watu kupiga kelele kila kukicha, likiisha ili linaingia lingine hamana siku au kipindi nchi ikose swala, mana halijaisha ili litazushwa lingine na mengine yanazushwa pasi na...
Madaktari mnaoomba kwenda Kenya ni vema kwanza mtafakari sababu za ghafla za serikali ya Kenya kutaka madaktari 500. Hamtakuwa salama huko Kenya kama sababu za kuwahitaji ni za kisiasa. Mkumbuke...
Nawaza tu, ni kweli clouds media hawana vipindi vingine kwenye televisheni hadi kufanya marejeo ya kipindi cha mahojiano ya ruge? Zamani ililalamikiwa kuwa ITV wanampa sana airtime Reginald Mengi...
Watanzania tujifunze kufikiri, hili sakata la vyeti halikuibuliwa na wakina Chid Benz, T.I.D, Ray C,Tunda nk sababu hawa wote ni waathirika wa madawa ya kulevya na walistahili kuhojiwa wanayatoa...
Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima ameyasema hayo mapema hii leo alipokwenda kukitembelea kituo cha Clouds Media kwa lengo la kuwapa pole na kuwatia nguvu wanafamilia wa...
Hili ni wazo huru zile radio, magazeti, vituo vya television ambavyo havina dira wala mwelekeo ambavyo kazi yake ni umbea umbea futaaaaa piga marufuku.
Pia nyumba za ibada ambazo zimegeuka wapiga...
======
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewahakikishia madaktari wa Tanzania usalama wakiwa nchini humo.
Alisema Serikali haina uwezo wa kibajeti wa kuajiri...
Taarifa iliyopo ni kwamba Mageleta(Mosi) aliuawa jana na watu kabila la wamasai kwenye ugomvi unaosadikika ni wa muda mrefu sana wa shamba huko kiteto mkoani Manyara.
Taarifa za awali zilieleza...
Nilitegemea kupewa elimu kwanza kabla ya kuniandikia faini, sasa haya maisha sasa ni ugomvi sticker inauzwa sh. 3000, nishindwe kulipa hafi nije kulipa elfu 30,000 fain.
Ni nini umhimu wa hiyo...
Hawa watoto wanaonekana wana lumbana jambo na mmoja wao akiwemo mzungu ambaye ndo victim kwa kupigwa na tofali, aliye mpiga tofauli anaonekana hajawa na huruma ata kidogo, hajatisha bali...
Kamoga ni kiongozi na mbunifu nsana katika kazi zake. Inatamabisha asikike akiongelea uvamizi ofisi aliyokuwa akiitumikia.
Nadhani kamoga na kusaga na Ruge ni familia huku akiwa serikalini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.