MATENDO MAOVU YA RC NA UPOTOSHAJI.

Dumelo

Senior Member
Apr 23, 2015
139
235
Kumekuwepo na mtazamo wa kitoto sana kwa watu wanaosapoti Maovu anayoyafanya RC wa Dar es Salaam, kwamba wanaompinga kwa matendo yake, kwamba ni wale wanaouza au kushirikiana na wauza madawa ya kulevya. Hii si kweli Kabisa, wote tunapinga kwa Nguvu zote Biashara hii ya Madawa ya kulevya, Ila RC na wafuasi wake waache kujificha Nyuma ya Harakati hizi huku wakivunja Sheria na Katiba ya Nchi yetu.
 
Back
Top Bottom