Dumelo
Senior Member
- Apr 23, 2015
- 139
- 235
Nimejikuta nawaza mbali sana, kama Mh Rais ambaye alikua kila mara akipiga simu CloudsTv na kupongeza mara kwa mara, baada ya tukio la uvamizi, mpaka sasa sijaona Mkuu akipiga simu hata kutoa pole kwa kilichotokea.
Je, ni kweli haoni au ameziba masikio kwamba hili ni tukio la kawaida kabisa? Je, ni kweli kwamba mkuu ndo aliyemtuma Bw mdogo, kufanya alichokifanya? Ninabaki na maswali mengi sana yasiyokua na majibu.
Hata hili la kuhojiwa na Tume ya Nape, nilijua tu kwamba itakua ngumu sana kutoa Ushirikiano kwa kibuli na kile kilichojificha nyuma ya aliyemtuma.