Makonda kajichongea mwenyewe

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
e1a92c70baf602f0652586b201a319c6.jpg

Kituo cha sheria na haki za binadamu kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu, Dk Helen Kijo-Bisimba kimesema wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za RC Makonda kuingia ofisi za Clouds Media akiwa na askari wenye silaha.



Bisimba ameitaka Serikali imchukulie hatua za kinidhamu na kijinai mkuu huyo wa mkoa ili kukomesha tabia hiyo.


==>Msikilize hapo akiongea
 
Mmh


Hawa nao majambazi yanaua kila kona nchini na hausikii wakikemea.

Mwenyekiti wa Rufiji kapigwa risasi kanusulika kufa hayo hawayaoni

Wao Makonda Makonda tu


Makonda oyeeeeee
 
Nasemaaa hiiiiviiiii chapaaaa kazi nimesemaaa chapaaa kaziiiiiii hapa kaziii tu in jpm voice
 
Huyo mama ameshahukumu na anatangazia watu wavunje amani ya nchi hii.

Nyoka wanazidi kutoka pangoni

Makonda oyeeee
 
Back
Top Bottom