Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

.
1 Reactions
5 Replies
898 Views
Nautazama mwaka wa uchaguzi 2020, ..Nafasi ya Bwana yule kurudi magogoni ni ngumu mno... Kutokana na mazingira yaliyomo ndani ya chama,.. Kwa wale wenye mapenzi mema na chama chao, wanaotaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika kipindi hiki Taifa linapitia, imekuwa bora mtu usile ila bando lipo kwenye simu la kutosha Cha kusikitisha makampuni ya simu yanatupiga changa la macho na mabando yao yasio eleweka...
0 Reactions
3 Replies
700 Views
tafakari kisha chukua hatua zaa wawili tu ili uweze kutunza kwa namna hii bora ungewaacha waendelee kubaki tumboni kwako
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Yan shughuli zako zinaweza kuwa poa.. Ila ukishavuta loan mikosi ndio inaanza hadi mtu unajikuta unashindwa kulipa mkopo.. Why?
3 Reactions
79 Replies
9K Views
Moja kwa moja naelekea kwenye mada. Nijipa muda wa kutafakari juu ya tumbua iliyompata Nape. Nape alipaswa kutumbuliwa kwasababu aligeuka kuwa mpinzani badala ya sehemu ya serikali. Nape...
10 Reactions
62 Replies
6K Views
Ujamaa haukuwa mbaya,ujamaa huenda ukawa mfumo bora zaidi kuwasaidia wengi kuinuka na kuondokana na umasikini, ujamaa unatoa fursa sawa kwa kila mtu kuishi "kama malaika" yaani gap la tajiri na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Bila shaka huyu mwanaharakati katika kipindi cha Kikwete alikuwa mbele kukemea ukiukwaji wa sheria pamoja na kuikemea serikali, ila cha ajabu katika awamu hii amekuwa kimya sana mpaka hili la...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Rais wa Marekani Barack Obama ametoa tamko la kubadilishwa kwa sera za nchi yake katika masuala ya kubadilishana ama kuwakomboa mateka ambao ni raia wake. Rais ametiulia mkazo kauli yake, amesema...
1 Reactions
1 Replies
742 Views
Ujue mnashangaza sana nyie TFF kwani amna kikosi cha Under 20 ,leo botswana wameleta wachezaji wa timu ya Under 20 nyie mnachezesha timu ya wakubwa tena mnamsumbua Samata kuja kucheza na vitoto...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Kwanza kidumu chama chetu chama cha mapinduzi ccm oyeeeeee!!!! kutokana hali inavyoendelea hapa nchini nimeona tuitane hapa tuliofoji vyeti kusimama kidete kumtetea ndugu yetu makonda...
11 Reactions
64 Replies
6K Views
RUGE MUTAHABA ANASHIKILIWA NA POLISI. Vyanzo vya uhakika vinaeleza kwamba asubuhi ya leo kulikuwa na kikao cha wafanyakazi wa Clouds. Kikao hicho kiliitishwa na Mkurugenzi wao wa Vipindi na...
51 Reactions
663 Replies
109K Views
Wakuu naomba wanaojua Misa ya kesho kanisa la UFUFUO NA UZIMA atujuze kama somo la mwendelezo wa Bashite litakuwepo, kwa vile wengi wetu sio wa kristu, ila kinachotuvutia ni mahubiri ya Askofu...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Wakuu meza yangu imepokea taarifa kuwa kesho ndio Baada ya jumapili iliyopita kuweka wazi cheti cha matokeo ya Makonda na hujuma zake za kumtumia dada kupotosha umma,Dr.Gwajima pamoja na...
7 Reactions
82 Replies
9K Views
Dodoma ni mkoa unaojumuisha wilaya kama Dodoma manispaa, kongwa, kondoa, mpwapwa, bahi, chamwino, machemba n.k wenye makabila maarufu kama Wagogo, warangi, wasandawe, wamakore n.k Tukianzia...
1 Reactions
11 Replies
18K Views
Inaonesha ukarbu wa mh Mkapa na rais wa sasa mh Magufuli ni wa siku nyingi. Lakini kwanin angalau Magufuli hauigi mazuri ya mh.Ali Hassani mwinyi ukayaweka kisasa,ukachukua ya mkapa ukayaweka...
6 Reactions
34 Replies
6K Views
The heading above is concern.ilikuwaje ukafeli..ulikuwa kilaza wa aina gani?mtihani ulikuwa mgumu Sana au uwezo wako tu ndiyo ulikuwa ndogo.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nakumbuka wakati Babu wa Loliondo alipoibuka Viongozi wetu wengi sana hasa wa Kisiasa walikuwa wakifunga safari zao kwenda kupata Kikombe cha Babu ambacho inasemekana kuwa kilikuwa kinatibu...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Endapo TEF, MOAT, MCT na UTPC mtakaa kimya kwa vitisho vilivyotolewa leo pale Magogoni basi kuanzia leo sitoona sababu tena ya Mimi kusikiliza Redio, kutizama Luninga na kusoma Magazeti. Lazima...
17 Reactions
73 Replies
7K Views
Habari ya muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza naomba kujuzwa hivi biashara za online gambling leseni yake huchukua muda kiasi gani, maana upande wa bodi ya gambling wameshatoa leseni muda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom