GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Endapo TEF, MOAT, MCT na UTPC mtakaa kimya kwa vitisho vilivyotolewa leo pale Magogoni basi kuanzia leo sitoona sababu tena ya Mimi kusikiliza Redio, kutizama Luninga na kusoma Magazeti.
Lazima Tasnia ya Habari na Utangazaji ya nchini Tanzania iheshimike na labda niwasaidieni tu kwa kuwaambia kuwa huu ndiyo wakati wenu mwafaka wa kuungana na kuonyesha Solidarity yenu hasa kwa Press Freedom in Tanzania na mkinyamaza kwa Kitisho mlichopewa nawahakikishieni kuwa Jamii itawadharau japo kuanzia majuzi ilianza kuwapenda na kuwaheshimu.
Tuheshimiane tafadhali na siyo kwa kutishiana huku kwani wana habari wana Miiko yao kama vile ambavyo Wakemia nao wana miiko yao.
Nimechoka na huu upuuzi unaojirudia rudia wakati hii ni nchi huru na yetu sote ambayo Mababu, Baba na sisi wenyewe tuliipigania kwa maslahi yake mazuri tu ili siku moja na sisi tuje kuiacha kwa Watoto na Wajukuu zetu nao waifurahie.
Tumechoka, tumechoka, tumechoka na vitisho. Nimeshapandwa na hasira zangu sasa!!!!!!