Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,970
Nautazama mwaka wa uchaguzi 2020, ..Nafasi ya Bwana yule kurudi magogoni ni ngumu mno...
Kutokana na mazingira yaliyomo ndani ya chama,.. Kwa wale wenye mapenzi mema na chama chao, wanaotaka chama kirudi madarakani, hakika hawataachia nafasi hiyo tena kwa Bwana yule kwani wanajua ni sawa na kubariki utawala uende kwa wazalendo halisia (wapinzani).
Panga litapita kwenye kura za maoni .
Na Kama kutakuwepo figusu wajue lile bao la mkono halitakuepo tena maana mratibu na mpambanaji msimtarajie kujitoa sadaka na kumpigia debe tena kwa kile mlichomfanyia.
Upinzani watapa nafasi ya kupenyezewa nyepesi nyepesi zaidi, hata kuliko uchaguzi uliopita.
Hamna namna nyingine ya kuwazuga wananchi kukisafisha chama ,ni kumuwajibisha Bashite arudi koromije.