moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,285
Moja kwa moja naelekea kwenye mada.
Nijipa muda wa kutafakari juu ya tumbua iliyompata Nape.
Nape alipaswa kutumbuliwa kwasababu aligeuka kuwa mpinzani badala ya sehemu ya serikali.
Nape hakupaswa kumpinga Makonda kwani Makonda hakuwa na kosa lolote.
Nape aliingiza chuki dhidi ya Makonda baada ya mpnzi wake Wema kutajwa kwenye list ya wa uza unga.
Nape alipuuza kauli ya rais aliyoitoa pale ubungo , Rais alisema Makonda achape kazi means alikuwa sahihi ktk yote aliyoyafanya.
Makonda ni mchapakazi kuliko hata waziri mkuu , wala makamo wa rais.
Makonda anasehemu kubwa ktk kuendesha nchi muacheni afanye kazi.
Siku Makonda akitumbuliwa nchi itatikisika.
Najua wachache ndiyo watanielewa.