kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,115
Katika kipindi hiki Taifa linapitia, imekuwa bora mtu usile ila bando lipo kwenye simu la kutosha
Cha kusikitisha makampuni ya simu yanatupiga changa la macho na mabando yao yasio eleweka. Nadhani imekuwa vita vya panzi furaha kwa kunguru. Sio haki Mungu anawaona makampuni ya simu.
Wenye mamlaka kazi kwenu.