agprogrammer
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 468
- 362
Habari ya muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza naomba kujuzwa hivi biashara za online gambling leseni yake huchukua muda kiasi gani, maana upande wa bodi ya gambling wameshatoa leseni muda mrefu tatizo lipo tcra, sasa nilikuwa nahitaji kujua kama kuna mtu anayejua muda wa hizi licesence za online business. Naomba kuwasilisha.