Wakuu Salaam.
Gwajima na wengineo mnaopeana pole sasa ni wakati wenu kukaa kimya , Raisi kaingia front mwenyewe sasa mjifanye vichwa vigumu na intellijensia zenu za uongo uongo mtapotezwa kama...
HIVI, kile kiingereza cha kwenye twitter nani huwa anamwandikia kaka naniliii? maanake mtu mwingine akijaribu kuongea hawezi, ila unashangaa kwenye kuandika ni tofauti. au amemwajiri Rasi simba...
Kutoka kwa Malisa Godlisten
Hii ni moja ya magari ambayo tumeambiwa yameingia kwa kufichwa kwenye makontena yaliyodaiwa yana nguo za mitumba. Definately gari hii inaweza kuwa imetokea Japan maana...
Kama niwewe ungefanyaje/ungejisikiaje uko ziara kama waziri ghafla unasikia umetumbuliwa tena kupitia vyombo vya habari kama ilivyomtokea jamaa. Alikuwa na wenzake wakiangalia luninga ghafla...
KAULI ZA MKUU ZINA WALAAKINI
Waungwana matamshi ni katika maeneo ambayo yanaweza kukufanya msikilizaji kutambua mtoa matamshi mtu wa aina gani
Waingereza wana kamsemo kao kua "some people appear...
Ktk mwezi huu wa machi 2017 binafsi nimesoma na kusikia mengi kupitia vyanzo vingi vya habari. Lakini nilichojifunza ni kuwa kuna kundi dogo la watu ambao naamini limechanganya watanzania na...
Taarfa kwamba maafisa wa bandari na baadae Magu , wamekamata makontena kadhaa ambayo yalitoka nje bill of loading ambayo kwa kawaida hutangulia kufika kabla ya mzigo ikionyesha ni mitumba...
Wakuu,
Natumai mu wazima na mnaendelea na Shughuli za Kila siku, kwa upande wa wenzangu wa "SCHOOL OF JOURNALISM "
Naomba niwape Pole kwa yaliyotokea kwenye tasnia yenu katika juma hili najua...
Tigo kila kukicha wanapunguza dakika,sms na mb katika zile laini zao za chuo,ambazo zina ofa ya university toka dakika 120 sasa dakika 80,sms 1500 sasa sms 500,gb1 sasa mb 500
Hakuna siku mitandao ya kijamii ilipata shamrashamra na sintofahamu. Wengi wetu wapenda ushilawadu sikuhyo hatukufanya lolote zaidi ya kuzungukia mitandao ya jamii.
Ile movie mubashara ilituvutia...
Nani anaufahamu huu wimbo jamani
Neno litasimama, neno litasimana
Mambo yote yatapita
Lakini neno litasimama.
Naifahamu nchi yangu Tanzania nimeanza kufatilia siasa tangu mwaka 2005
Yamepita...
.Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe Godbless Jonathan Lema ameungana na ACT Wazalendo kwenye mkutano mkuu wa kidemokrasia wa miaka 50 ya Azimio la Arusha .
UPDATES.
, ''Chombo cha habari...
Tanzania's President John Magufuli has sacked his information minister, who launched an investigation into a powerful government administrator accused of intimidating a popular private media...
wadau.
Kuna taarifa ya kuwa muda wako wa maongezi unakarikiba kwisha ambayo Tigo wanasema pale ukibakiza dakika moja kwa maongezi. Ila taarifa hii uwaga inakatiza mawasiliano na inaleta...
Habar zenu wana jf , baada kuona bongo pamekua pagumu kila siku zinavyosonga nimeamua nimepata wazo la kuondoka nchini na kuelekea botswana kusaka maisha
Kiukweli sijui chochote kuhusiana na...
Zinaitwa white squatter camps...hakuna maji ya bomba wala umeme...wanaishi unskilled whites ambao imekua vigumu kupata kazi baada ya ANC kuingia madarakani na kuhamasisha ajira kwa wingi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.