Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Ujue mnashangaza sana nyie TFF kwani amna kikosi cha Under 20 ,leo botswana wameleta wachezaji wa timu ya Under 20 nyie mnachezesha timu ya wakubwa tena mnamsumbua Samata kuja kucheza na vitoto vya under 20