CHILDREN BY CHOICE NOT BY CHANCE

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
faa518b8c39af74b4317eb19810968f8.jpg
9aabed371461b760e298cec830615220.jpg
tafakari kisha chukua hatua zaa wawili tu ili uweze kutunza kwa namna hii bora ungewaacha waendelee kubaki tumboni kwako
 
hata hivyo bado hutakiwi kujudge pengine elimu ya uzazi wa mpango hawana or they are just unfortunate

Ni kweli asee, kuelimishwa kitu muhimu sana. Watoto wakipata shida wanatia huruma sana ukizingatia kuwa they didn't ask to be born. Sasa kama huyu ni hivi, wadogo zake sijui wako hali gani!
 
faa518b8c39af74b4317eb19810968f8.jpg
9aabed371461b760e298cec830615220.jpg
tafakari kisha chukua hatua zaa wawili tu ili uweze kutunza kwa namna hii bora ungewaacha waendelee kubaki tumboni kwako
Good or bad depend on which side of the coin you stand. There is no absolutes in life. You must also be aware that, without challenges, life is meaningless. It is our challenges that differ but each enjoy victory lap when you overcome a near death challenge.
 
Sasa huyu Mtoto umemuanika hapa kwa idhini ya nani!?? Arage kweli wewe...
 
Kwa hiyo mkuu unatusema sisi tunazaa kama panya? Aka kufyatua?
Kuzaa sana sio dhambi mungu hata kwenye kitabu kitakatifu tunahimizwa kuiongeza. Ila inakuwa dhambi unapofyatua halafu hutunzi .that's they won't get basic necessities e.g. clothing, sheltering @eating
 
Back
Top Bottom