Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,912
- 13,230
Bila shaka huyu mwanaharakati katika kipindi cha Kikwete alikuwa mbele kukemea ukiukwaji wa sheria pamoja na kuikemea serikali, ila cha ajabu katika awamu hii amekuwa kimya sana mpaka hili la makonda la kuivamia clouds ambalo limetikisa nchi yeye yuko kimya.Kipi kimempata huyu mwanaharakati?