Wakuu naomba wanaojua Misa ya kesho kanisa la UFUFUO NA UZIMA atujuze kama somo la mwendelezo wa Bashite litakuwepo, kwa vile wengi wetu sio wa kristu, ila kinachotuvutia ni mahubiri ya Askofu Gwajima anapo hubiri mambo ya BASHITE
.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.