chief1
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,415
- 1,409
Ujamaa haukuwa mbaya,ujamaa huenda ukawa mfumo bora zaidi kuwasaidia wengi kuinuka na kuondokana na umasikini, ujamaa unatoa fursa sawa kwa kila mtu kuishi "kama malaika" yaani gap la tajiri na maskini linazibika kirahisi, capitalism kama ilivyo kenya inatoa fursa kwa wachache kumiliki mhimili wa uchumi,hivyo gap la tajiri na maskini siyo rahisi kuliziba
Watanzania tumepewa fursa na "ujamaa" ya kujiongezea uwezo kiuchumi, tumepewa fursa wote, tofauti na capitalism ya kenya
Tuachane na excuses za vita na vingine
Pengine ujamaa wetu ulikosewa kiasi flani tofauti na ule wa china na russia,
Sisi tulilemazwa kifkra kwamba tuitegemee serikali kwa kila kitu, hiyo ilizaa taifa la watu wakulalamika,watu wavivu wa kufanya kazi na kufikiri
Labda ingetumika nguvu zaidi ya kutulazimisha kufanya kazi tangu mwanzo huenda mambo yangekuwa kama china na nchi zingine zilizofanikiwa kupitia ujamaa,labda wao walijifikirisha zaidi
Kwa hivyo watanzania tumekuwa "walemavu" wa "kula ubuyu"
Tumesahau kufikiri na kufanya kazi
Ukiangalia tanzania ina fursa nyingi za kiuchumi kuliko kenya, tulikuwa na tuna fursa nyingi za kutufanya tuwazidi wakenya kiuchumi
Wakenya walipata bahati ya kufundishwa kufikiri na capitalism ndiyo maana dunia inajua kilimanjaro ipo kenya!
Watanzania tupunguze kula ubuyu....huu ubuyu ndo umaskini wetu