Wanasomaje namba kwa akili hizi,kwao biashara ni nzuri sana ukizingatia tunavyotatua kila kero zetu kupitia kwao!!!wanaomsafiria Makonda tu kwa siku ni hesabu tosha,jumlisha na wa Siang'a mambo yanakaa sawa.Hivi hii nchi haina waganga na wachawi?? Inamaana wao hawaisomi namba? Tunaomba mfanye makeke yenu jaman hali ni mbaya.