Tuliowahi kufeli darasa LA nne kwenda LA tano tukutane hapa

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,084
1,061
The heading above is concern.ilikuwaje ukafeli..ulikuwa kilaza wa aina gani?mtihani ulikuwa mgumu Sana au uwezo wako tu ndiyo ulikuwa ndogo.
 
The heading above is concern.ilikuwaje ukafeli..ulikuwa kilaza wa aina gani?mtihani ulikuwa mgumu Sana au uwezo wako tu ndiyo ulikuwa ndogo.
Bibi yangu alikuwa ananifundisha kutengeneza ugoro nikasahau shule!!!
 
Mi sikuwahoi kurudia ila nilipokuwa darasa la 5 m/mkuu alinizingua kuwa eti nilifeli ila waliniacha tu aliyasema hayo baada ya kuona nimekuwa msumbufu
 
Sikufanya mtihani kwa utoro nadharau kuwa hamna mtihani kweli bana kumbe mtihani ukafanyika duh nikaambiwa ntabaki lanne nikajisemea moyoni kuliko kubaki lanne bora niache shule darasa lile ambalo kama ningebaki kulikua nawatu wakorofi siwapendi lakini nikaongea namkuu huku nikilia sana akanielewa sijui alichofanya lakini niliendelea la5
 
The heading above is concern.ilikuwaje ukafeli..ulikuwa kilaza wa aina gani?mtihani ulikuwa mgumu Sana au uwezo wako tu ndiyo ulikuwa ndogo.
Elezea kwanza wewe ilikuwaje ukafeli ndo na wenzako wachangie..... by ze wey mtafute mbabe wa vita le generale Bashite
 
Back
Top Bottom