Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Zinaitwa white squatter camps...hakuna maji ya bomba wala umeme...wanaishi unskilled whites ambao imekua vigumu kupata kazi baada ya ANC kuingia madarakani na kuhamasisha ajira kwa wingi kwa...
2 Reactions
125 Replies
23K Views
Mhe Rais katika ziara zake za ghafla bandarini, mwezi Machi 2017 alielezwa kwamba kwa sasa idadi ya meli imeongezeka na kuwa 30 kwa siku, na kwamba kuna 30 nyingine zipo foleni zinasubiri kuingia...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) linadaiwa zaidi ya Sh bilioni 4 na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) za kodi ya mitambo ya kuzalisha umeme iliyokwama katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu wazalendo. Naomba kufahamishwa kuhusu tatizo la mtu kutoweza kutamka ama kuunda sentensi zenye maana na katika lugha yake ya kwanza. Naamini watanzania waliobahatika kupata elimu...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Wakuu, Leo katika pitapita yangu mitaa fulani nimewakuta jamaa kama wanne hivi wakimmwagia maji machafu mdada huku kicheko kikiendelea. Nilisistuka na kuhoji kulikoni maana nilidhani mdada...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Matajiri Wajenga Mahandaki Kujiandaa na Mwisho wa Dunia..!!! UKITAMKA “handaki la kujificha kwa ajili ya mwisho wa dunia” watu wengi watadhani kuwa ni chumba kilichojengwa kwa uimara wa hali ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Siku ya leo kumetokea tukio la kustaajabisha ktk tasnia ya siasa nchini tanzania. Tukio hilo limetokea dar es salaam wakati aliyekuwa waziri wa michezo na tamaduni Nape nauye akitaka kuongea na...
34 Reactions
256 Replies
48K Views
Kwa Mara ya kwanza nawaona hapa live akina swebe Santana ktk shindano lao LA shika ndinga Wachatufuatilie kuona umahiri wao ktk vipindi sijui kama wameanza rasmi au la
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau nilikua nataka kujua gharama za vyumba vya bei nafuu kwa mwezi huko bellville, capetown SA. Maana nina safari ya kibiashara na nitakaa huko takribani mwezi mmoja kwa yeyote anaefahamu...
4 Reactions
45 Replies
9K Views
Tusaidiane kutaja wajumbe wa tume ya Warioba na nyadhifa zao kwa sasa..
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Mimi si mwandishi wa habari ila maisha yangu, kwa muda mrefu, yanazungukwa na waandishi wa habari. Kwa maana kwamba habari nyingi nazipata kutoka kwa waandishi wa habari. Ni habari chache...
0 Reactions
3 Replies
940 Views
Nakumbuka mwalimu wangu aliwahi kuniambia ukiwa muongo usiwe msahaulifu, nimekaa nikawaza nakuwazua hivi inchi hii tunaelekea wapi.? Jana wakati mkuu katika hotuba yake akiwa anawaapisha wateule...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Lipi lilikuwa lengo la mwl.J.K NYERERE,kutuweke swala hili?.. •NADHANI LENGO LILIKUWA KUPIMA UTENDAJI WA KIONGOZI,KWA KINA KABLA YA KUMPITISHA,KWA KUZINGATIA UMOJA WETU WA KITAIFA KAMA KIPAUMBELE...
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Nimekulia Tanga ambayo ilikuwa imeshamiri Viwanda vya kila aina kama Chuma, Mbolea, Mbuni (sabuni), Mkonge etc. Ila hivi karibu nasuhudia kiwanda cha FOMA na AFRITEXT vinafungwa bila kujua sababu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekaa nawaza na kuona matukio haya mawili la clouds tv kuvamiwa kwa bunduki tena zaidi ya moja,na la leo Nape Nnauye kutishiwa bastola ili hali hakukuwa ulazima kabisa wa kutoa bastola hio...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Nawaza kwa kulia, mbona jumuia za kidini mpo kimya, nini kilicho wasibu, HAKUNA waraka wowote juu ya mihemuko hii iliyopanda kichwani mwa watanzania, Nani atuongoze kukemea haya, tumekuwa Kama...
1 Reactions
2 Replies
732 Views
Wakuu habarini Nimekuwa nikifatilia kipindi cha jahazi na kushuhudia huyu mzee aitwae Kibonde amekaa kiupande mmoja yaani kila muda ni kumsufu rais hata inapoonekana anaenda sivyo na pia hata...
1 Reactions
63 Replies
7K Views
Tambua amepataje nafasi Hiyo, Linganisha na maamuzi ya nafasi alizowahi shika, Kuwa mkweli, acha mihemko utamuelewa. kuna series moja, "Designated Survivor " Penda sana hii kitu. TUACHE...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Mkuu mi mnywaji wa pombe, nakunywa bia , sometimes spirits kama Konyagi ila leo nimejaribu hii kitu inaitwa Gordon's inauzwa 30,000 kwa Ml 750 na Alc 43%, ila hii ni ghali ukilinganisha na Konyagi...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi madeke halmashauri ya wilaya ya njombe mwenye umri wa miaka 10 inadaiwa kuwa anaendelea kuugulia maumivu ya adhabu ya kuchapwa viboko...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom