OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,102
- 114,703
Wakuu meza yangu imepokea taarifa kuwa kesho ndio
Baada ya jumapili iliyopita kuweka wazi cheti cha matokeo ya Makonda na hujuma zake za kumtumia dada kupotosha umma,Dr.Gwajima pamoja na mahubiri,kesho ataendelea kuwafunulia watanzania uozo wa Bashite juu ya ujanja ujanja alioufanya kahusu elimu yake. Kesho ataweka wazi cheti cha Paul Christian mwenyewe ambacho ni cheti alichokitumia Makonda kupatia elimu ya chuo
Askofu Gwajima atakuwa live online kupitia You Tube. Nawaomba ndugu zangu muwe na bando la kutosha kuwa online badala ya kusubiri kusimuliwa
Swali ninalojiuliza ni kwamba pamoja na ONYO alilotoa Gwajima kwamba yeyote atakayemkingia kifua Bashite atampiga,lakini bado "mhimili uliojichimbia chini zaidi" unamkingia kifua