Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama mwezi mmoja umepita niliibiwa simu yangu iPhone 6 s plus maeneo ya tazara kwenye mataa,hiyo simu masikini nilikua nmeitumia kma wiki tu. Walicho kifanya wale vibaka walikua na bodaboda,mmoja...
48 Reactions
113 Replies
10K Views
Yaani mwisho wa haya yote watu wengi hawatoamini, kila mmoja aliyekuwa anapiga kelele atakaa kimya, wabunge watakaa kimya, waandishi wa habari na vyombo vyao watatengua maamuzi yao, makonda...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwa kusoma tu majina ya wajumbe utajua kabisa "ripoti ya makonda" Itakavyokua... Mchawi KATIBA TU.
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanabodi ni kheri? Nimefika juzi Dar baada ya kutoka kanda ya ziwa, sasa Leo wikiendi nikaona ni vyema nikaenda "outing" kwa ajili ya kupunguza msongo wa mawazo na kurelax beach. Saa kumi hivi...
48 Reactions
250 Replies
25K Views
Bi Caslida (50years) alikuwa kwenye Chuo cha Uchungaji kinachomilikiwa na Askof Gwajima amezidiwa na sasa amekimbizwa Mhimbili. Tatitizo lake ni kuvimba tumbo na anasema amepata madhara hayo...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Napenda raisi wa rassia anavyojiamini sana..sio kama maraisi wengine wanaongopa Wamarekani...maana mmarekani anapenda sana kuingilia kati mambo ya Nchi zingine,kama walivyomuwekea Mseveni kukataa...
0 Reactions
100 Replies
14K Views
Ndugu zangu, kama mnavojua 13.06.2016 Tume ya utumishi wa UMMA ilitoa waraka wa siri kuhusu usitishwaji wa ajira mpya kada zote kwa mwaka 2016 ili kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa...
3 Reactions
82 Replies
18K Views
Mvua zinazonyesha zasababisha kukatika kwa barabara ya Dumila Kilosa Mkoani Morogoro. Mvua kubwa iliyonyesha wilayani Kilosa imesababisha kukatika kwa barabara kuu ya Dumila Kilosa katika eneo la...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Limenikuta Jana jioni. Nilifanikiwa kuhamisha pesa kwa M-pesa from my CRDB kiasi kikubwa to my phone number. Tatizo ni kuwa salio linaonyesha kuwa pesa imetoka bank, ila kwenye M-pesa hakuna kitu...
7 Reactions
55 Replies
10K Views
Kwani pale MC anapotutambulisha wanapo taka kubusu NANUKUU MC :Anasema tunapenda kuwatambulisha bwana na (bibi joti ) Mmoja kashamtaja jina mbona huyu mmoja hajamtaja jina (bwana ? )
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Watu wengi hupenda kutembelea nchi mbalimbali kufanya utalii lakini mara nyingi hujikuta kwenye mikono ya sheria pindi wanapofanya makosa ambayo yamekatazwa katika nchi husika bila kujua, ili...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Ardhi huweza kupata laana ikiwa wanaoikalia watafanya mambo kinyume na imani au miiko fulani Tanzania. Mungu ameibariki kwa kila rasilimali ambazo hata hata baadhi ni adimu Duniani hupatikani...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wana jf Nimekuwa nikijikuta katika hali ambayo sijui kama ni kwangu binafsi au kuna wengine pia wanai-experience. Nikiwa msalani (chooni/maliwatoni) kujisaidia haja kubwa aka kukata...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Kuwa muda sasa kuna mama aliunguzwa na mumewe, shukrani kwa Rais Magufuli kwa msaada aliyempatia hadi ametoka, Ila TLS chama ambacho mnajinadi kwamba mnatetea wanyonge mmekaa kimya leo Rais...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Hari zenu wana jf! Naulizia kuhusu hizo bati za snow hivi ubora wake washinda bati za ALAF? Pia hivi bati za ALAF huwa ukinunua mfano bati 100 zote zinakuwa na chata ya ALAF kwenye bati lenyewe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Profesa James Mdoe amesema hali ya umeme imeanza kurejea baada ya kukatika kwa umeme katika gridi ya taifa, tatizo lililotokea leo asubuhi katika...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Madakitali wanashauri kuepuka kula nyama kuepuka mafuta lakini ukweli mboga mbadala ni adimu. Wanasema tule mbogamboga lakini ukitembelea huko zinakolimwa ni sumu tupu tunakula. Wanashauri ule...
0 Reactions
3 Replies
882 Views
Habari zenu wakubwa. Jana nikiwa na wageni wangu kutoka Ulaya nilipokuwa nawapeleka Kigamboni tukiwa ndani ya pantoni tunapiga selfie alikuja mgambo na kusema tuko chini ya ulinzi kwani hakuna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom