mr mkiki JF-Expert Member Sep 22, 2016 5,588 11,668 Mar 29, 2017 #1 Kwa kusoma tu majina ya wajumbe utajua kabisa "ripoti ya makonda" Itakavyokua... Mchawi KATIBA TU.
Ngushi JF-Expert Member Jul 8, 2016 9,065 18,358 Mar 29, 2017 #2 aaaagh haina haja ya kusubiri ripoti! kwa hali hiyo majibu yashajulikana