Serikali yasema hali ya umeme imeanza kurejea baada ya kukatika kwenye gridi ya taifa

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Profesa James Mdoe amesema hali ya umeme imeanza kurejea baada ya kukatika kwa umeme katika gridi ya taifa, tatizo lililotokea leo asubuhi katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo Zanzibar.
 
Back
Top Bottom