Nape Kasema haya baada ya Ney kuachiwa huru

sam2015

Senior Member
Dec 20, 2015
107
112
img_BSJQUNXAC5S.jpg
 
Atakuwa amekaachini akatafakari jinsi presha ilivyokuwa juu hadi akaonyesha kovu alilopata kwa kuitetea ccm na maneno mengine mengi ya hasira.

Na sasa amegundua kuna kitu cha maana angetakiwa kufanya zaidi ya alichofanya kabla ya kuita media fasta fasta baada ya kutenguliwa.

Majuto ni mjukuu.

Endeleeni kunyoana mwenyewe kwa mwenyewe.
 
Mmh, noma sana
 
Back
Top Bottom