Kuna haka katabia tigo nahisi wananiibia dakika zangu za muda wa Maongezi kwa kujiongelesha kuwa muda umebaki kidogo utasikia wanaanza "you have less than one minute afu wanasema tena kwa...
Tanzania imeshika nafasi ya pili kati ya nchi arobaini na nne zinazopiga hatua kwenye matumizi ya teknolojia katika shughuli za maendeleo barani Afrika hali iliyotokana na watanzania kupata...
TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU mkoa wa MARA,imewakamata na kuwafikisha mahakamani viongozi wawili wa kata ya Suguti katika halmashauri ya Musoma vijijini kwa tuhuma za...
Huyu jamaa kaitwa kwenye tume ya maadili Ya Bunge.
Ni kweli magazeti hayataitoa hii taarifa kesho?
Ndiyo tupime vyombo vyetu vya habari vikoje na misimamo yao.
Habari wana jamvi,
Naomba nifahamishwe kuhusu hii system ya Propeller Ads. Ufanyaji wake wa kazi, malipo jinsi ya kulipwa(unalipwaje) na nikitaka kuwa hiyo system ya propeller kwa hapa Dar ni...
Kama vile ulivyotoa kauli yako na kuzifunga ajira mpya kwa muda wa miezi miwili hadi mitatu tangu mwaka jana mwezi wa sita
Ni muda sasa tunakaribia kuufikia mwaka tangu uzifunge ajira
Tupe kauli...
Tanzania imechangia asilimia 19.3 ya jumla ya wageni wa kimataifa kupitia anga (international air arrivals) ukilinganisha na asilimia 18.2 ya Kenya, asilimia 17.2 Misri na asilimia 12.1 ya Afrika...
Posted Date::10/9/2007
Waziri mwingine anusurika katika ajali ya gari mkoani
Na Ramadhan Semtawa
Mwananchi
AJALI za magari zimezidi kuwaandama viongozi wa serikali, baada ya Naibu Waziri...
Naandika kwa huzuni kubwa na kughafilika sana, Mimi ni mtumishi halmashauri fulani, tatizo lilianzia idara ya utumishi nilikopa mkopo wa kujikimu/ life start-up kupitia mfuko wa jamii wa PSPF...
Wakuu wa nchi how's going today,
Nilikuwa TRA leo kukadiriwa kulipa kodi, wakanikadiria mara nne ya hela niliyolipa mwaka jana. Sasa biashara yangu ni ndogo sana na iko nje ya Manispaa...
Habari zenu wakuu! Wenye uelewa na jambo hili naomba watufundishe wengine ambao hatujui, najua itakuwa chakula cha wengi hapa....
Ni hivi, inakuwaje pale mtu unapokuwa umeweka fedha zako nyingi...
Habari zenu wanajukwaa(great thinkers),
Mimi ni mwanafunzi wa idara ya uhandisi ujenzi(civil engineering), nikishirikiana na wanafunzi wenzangu tungependa kuwasaidia watanzania wenzetu kuhusiana...
Kwa sasa bongo wallpaper ndo habari ya mjini ikija kwenye kuweka nakshi za ndani katika nyumba.
Nakumbuka zamani hata watu walio wengi walikuwa hawazijui. Lakini sasa hivi kila sehemu ni...
Mmoja amekuja anajisifu kuwa ni "war President" ambaye ameapa ku root out terrorism, mwingine aliongoza nchi kwa iron fist lakini alihukumiwa kinyongo baada ya kukutwa na hatia ya kuua watu 165...
Waangalieni Hawa nao ndiyo wanakizika chama. Washazika kikundi cha wapiga kelele (UKAWA) ambacho wala hakitambuliki na hakipo hata kikatiba.
Baada ya haya mazishi kinachofuata n mazishi ya...
Kuna utapeli umeenea sasa hivi Dar wa watu wanaodai wamepata wafadhili kwenye mradi wa kusaidia watoto wenye mtindio wa ubongo au wanasema wana shamba darasa wamefungu huko Lindi, wanataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.