Mchungaji mwanafunzi Caslida kutoka Ufufuo na Uzima amezidiwa!

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
383
Bi Caslida (50years) alikuwa kwenye Chuo cha Uchungaji kinachomilikiwa na Askof Gwajima amezidiwa na sasa amekimbizwa Mhimbili.

Tatitizo lake ni kuvimba tumbo na anasema amepata madhara hayo baada ya mfungo wa siku kadhaa hapo chuoni na kwamba amechelewa kufika Hospitalini

KWA SASA HANA MSAADA HIVYO NDUGU WA UFUFUO NA UZIMA TUSAIDIANE MAMA MCHUNGAJI ANATESEKA.

KWA SASA SIMU YAKE NI 0754 027525
YEYOTE ANAYETAKA KUMUSAIDIA AWASILIANE NA SIMU HIYO AMBAYO MTOTO WAKE ANAYO
 
Bi Caslida (50years) alikuwa kwenye Chuo cha Uchungaji kinachomilikiwa na Askof Gwajima amezidiwa na sasa amekimbizwa Mhimbili.
Tatitizo lake ni kuvimba tumbo na anasema amepata madhara hayo baada ya mfungo wa siku kadhaa hapo chuoni na kwamba amechelewa kufika Hospitalini
KWA SASA HANA MSAADA HIVYO NDUGU WA UFUFUO NA UZIMA TUSAIDIANE MAMA MCHUNGAJI ANATESEKA

Ukute hiyo simu unayo wewe halafu unadai mtoto wake.
 
POLE SANA MAMA MCHUNGAJI, MWENYEZI MUNGU AKUPE NGUVU UPATE KUPONA HARAKA ILI KUENDELEZE KAZI YA KIMISIONARY.

NOTE:
HATUWEZI KUJENGA VIWANDA KISHA TUNAKUWA NA WATUMISHI AU VIONGOZI WENYE VYETI FEKI. YAANI HILI LAZIMA TULIPIGANIE KWA NGUVU ZOTE.
 
Hiii ni aibu kwa Gwajima,anashindwa tatizo dogo sana hili
Hakuna ushahidi kuwa kinachosemwa ni kweli.

Hivii kama kweli lengo la mtoa thread ni kutoa msaada kwa mgonjwa, amewasiliana na uongozi wa kanisa kabla ya kuja kuanzisha hii thread?

Huyo mama ni nani yake.......
Hospital hakuna wagonjwa wengine wa kuwaanzishia thread humu?
 
  • Thanks
Reactions: Luv
POLE SANA MAMA MCHUNGAJI, MWENYEZI MUNGU AKUPE NGUVU UPATE KUPONA HARAKA ILI KUENDELEZE KAZI YA KIMISIONARY.

NOTE:
HATUWEZI KUJENGA VIWANDA KISHA TUNAKUWA NA WATUMISHI AU VIONGOZI WENYE VYETI FEKI. YAANI HILI LAZIMA TULIPIGANIE KWA NGUVU ZOTE.
Nimeielewa sana hiyo note yako.

Kwamba vyeti feki vinawezakuwa......... hii story
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Kuna tatizo mahali ama kwa Gwajima au kwa mdeni wa Gwajima.
 
Waislam wanafunga kila siku na hawapati matatizo, kufunga kwa nzia lini kukaleta matatizo, aliyekutuma mwambie ombi let bado lipo palepale
 
POLE SANA MAMA MCHUNGAJI, MWENYEZI MUNGU AKUPE NGUVU UPATE KUPONA HARAKA ILI KUENDELEZE KAZI YA KIMISIONARY.

NOTE:
HATUWEZI KUJENGA VIWANDA KISHA TUNAKUWA NA WATUMISHI AU VIONGOZI WENYE VYETI FEKI. YAANI HILI LAZIMA TULIPIGANIE KWA NGUVU ZOTE.
Umekwisha, kwisha kabisa
 
1.Issue ya Kwanza mwente simu anafahamika
2.Mhimbili inafahamika
3.Ugonjwa unafahamika
4.Msaada unafamika
Mwenyekutaka kujua aende Mhimbili au auluze kama huyo si mchungaji
Issue ya Vyeti na Ugonjwa ni vitu viwili tofauti
Mtu anateseka harafu siasa zinatawala
 
Bi Caslida (50years) alikuwa kwenye Chuo cha Uchungaji kinachomilikiwa na Askof Gwajima amezidiwa na sasa amekimbizwa Mhimbili.
Tatitizo lake ni kuvimba tumbo na anasema amepata madhara hayo baada ya mfungo wa siku kadhaa hapo chuoni na kwamba amechelewa kufika Hospitalini
KWA SASA HANA MSAADA HIVYO NDUGU WA UFUFUO NA UZIMA TUSAIDIANE MAMA MCHUNGAJI ANATESEKA
KWA SASA SIMU YAKE NI 0754 027525
YEYOTE ANAYETAKA KUMUSAIDIA AWASILIANE NA SIMU HIYO AMBAYO MTOTO WAKE ANAYO
kwa nini apelekwe hospitali? Wakati Baba Mchungaji Gwajima ni Baba wa maombi anafufua wafu,kutoa mapepo na kuombea wagonjwa kama hao si amuombeee apone tu. Muhimbili hakuna maombi. Uzima upo kwa gwajima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom