Ubora wa bati za Snow

Ubora wa bati za Snow

Cas-9

Member
Joined
Jan 2, 2017
Posts
39
Reaction score
28
Hari zenu wana jf!

Naulizia kuhusu hizo bati za snow hivi ubora wake washinda bati za ALAF?

Pia hivi bati za ALAF huwa ukinunua mfano bati 100 zote zinakuwa na chata ya ALAF kwenye bati lenyewe au ni ile moja tu ya juu ktk mzigo ndio yawa na karatasi lenye maelezo na muhuri?

Natanguliza shukurani.
 
Back
Top Bottom