sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,053
- 1,304
Yaani mwisho wa haya yote watu wengi hawatoamini, kila mmoja aliyekuwa anapiga kelele atakaa kimya, wabunge watakaa kimya, waandishi wa habari na vyombo vyao watatengua maamuzi yao, makonda ataomekana mwema, hakuna atakayedai vyeti tena, Bunge litakuja na wimbo wa ameomba msamaha, na amesamehewa hawatogusia swala la Vyeti, wabunge wa upinzani wakigusia wabunge wa ccm watamtetea, na utetezi wao utashinda tu,
waziri mwenye dhamana atavitisha vyombo vya habari ili warushe mambo ya makonda,
Makonda atavaa ngozi ya kondoo kwa kipindi hiki kwa kila mtu, atajipendekeza hadi kwa baadhi ya wapinzani dhaifu watamtetea, makonda atakuwa mnyenyekevu, mpole na mwenye busara huku akitumia nguvu ya madaraka yake kimyakimya ili kusahaurisha haya yote, watu watabaki nayo moyoni tu na watajua tu kwamba hana vyeti lakini ndiyo mkuu wa mkoa wako na kumtoa hauwezi.