TLS vipi hili la aliyeunguzwa na Mumewe mbona kimya au sio mnyonge huyu?

aloyce ibra

Member
Oct 26, 2016
60
25
Kuwa muda sasa kuna mama aliunguzwa na mumewe, shukrani kwa Rais Magufuli kwa msaada aliyempatia hadi ametoka,

Ila TLS chama ambacho mnajinadi kwamba mnatetea wanyonge mmekaa kimya leo Rais anapigizana kelele na polisi kutafuta cheap popularity while kuna issues za kufanyia kazi....
297fc9dd2955846e58c31bb04477f4d7.jpg
 
Kuwa muda sasa kuna mama aliunguzwa na mumewe, shukrani kwa rais magufuli kwa msaada aliyempatia hadi ametoka,

Hiyo kazi ya kumkamata mume wa huyo mama walitakiwa waifanye wale polisi waliokamata Lissu na Lema wakiwa bungeni na kuwasafirisha kwenda kujibu mashtaka ya kubambikizwa na mpaka Lema akakaa ndani miezi minne kinyume na sheria. Pia kuna wale waliomkamata Ney wa mitego wanaweza kumkamata huyo mume wake ili afunguliwe mashtaka.
 
Umeshiba maharage ya wapi sijui? Yaani kwa uwezo wako finyu unadhani TLS ni kokoro? Umeshindwa nini kuwaambia serikali ambao ndio wakamataji na waendesha mashtaka? Umeshiba sasa unaibeulia TLS. Too low.
 
Hiyo kazi ya kumkamata mume wa huyo mama walitakiwa waifanye wale polisi waliokamata Lissu na Lema wakiwa bungeni na kuwasafirisha kwenda kujibu mashtaka ya kubambikizwa na mpaka Lema akakaa ndani miezi minne kinyume na sheria. Pia kuna wale waliomkamata Ney wa mitego wanaweza kumkamata huyo mume wake ili afunguliwe mashtaka.
Hilo jamaa limejaa ushabiki uchwara, lisitusumbue sisi.
 
Kuwa muda sasa kuna mama aliunguzwa na mumewe, shukrani kwa rais magufuli kwa msaada aliyempatia hadi ametoka,

Ila TLS chama ambacho mnajinadi kwamba mnatetea wanyonge mmekaa kimya leo Rais anapigizana kelele na polisi kutafuta cheap popularity while kuna issues za kufanyia kazi....
297fc9dd2955846e58c31bb04477f4d7.jpg
Sasa Rais si alishachukua hatua au?Yaani unataka wadeal na solved problems
 
duuu aisee sidhani kama wao ndio wanatakiwa wamkamate mtuhumiwa!
Mimi nafikiri wao wanadeal na kukiukwa kwa sheria ambapo inaathiri sehemu kubwa ya jamii!

Kwa mtindo huo si unaweza kupigwa na mumeo ukaanza kutaka rais wa tls aje akusaidie
 
Rais wa TLS yupo bize kujibizana na statements za magufuli..na yeye keshajiona presidaa wa nchi..jina la cheo linamdanganya..hajui hata FM academia band ina rais..
 
Kuwa muda sasa kuna mama aliunguzwa na mumewe, shukrani kwa Rais Magufuli kwa msaada aliyempatia hadi ametoka,

Ila TLS chama ambacho mnajinadi kwamba mnatetea wanyonge mmekaa kimya leo Rais anapigizana kelele na polisi kutafuta cheap popularity while kuna issues za kufanyia kazi....
297fc9dd2955846e58c31bb04477f4d7.jpg
Ilo halina kiki!!! Angekuwa kaipinga serikali ungesikia akina KIBATALI wanajitolea kwenda kumcmamia mahakaman bure
 
Rais wa TLS yupo bize kujibizana na statements za magufuli..na yeye keshajiona presidaa wa nchi..jina la cheo linamdanganya..hajui hata FM academia band ina rais..
Title tu ndio inakutoa povu hapo, kuwa wewe basi Rais wa TLS
 
Back
Top Bottom