Habari wana jf
Nimekuwa nikijikuta katika hali ambayo sijui kama ni kwangu binafsi au kuna wengine pia wanai-experience.
Nikiwa msalani (chooni/maliwatoni) kujisaidia haja kubwa aka kukata gogo,nje ya shughuli yenyewe ya kujikamua(kama ujuavyo ugumu wa kukata gogo kwa most of Africans) basi nakuwa katika hali zifuatazo:
1.Mipango ya maisha inakua mingi mno.
2.nawaza juu ya mahusiano kwa maana ya mama watoto wangu,EXs,michepuko nk,styles za kugegeda,
3.Nawazia wagonjwa walioko mahospitalini.
4.Mradi/Miradi gani mipya niibue
5.Nifanyeje ili nifanye hiki na kile.
6.Nina mahusiano gani na Muumba?
Kiufupi nawaza scope kubwa ya maisha ya mwanadamu ktk muda huo mdogo. Nilitamani niwe na video ya ku-reveal kile ninachomaanisha lkn kwa wale wa jicho la tatu na wanaojua kusoma katikati ya mistari bila shaka watakuwa wamenipata vyema.
Ningependa kupata msaada ktk maeneo yafuatayo:
1.Je hiyo ni hali ya kawaida,inaitwaje?
2.Je kuna uhusiano wowote wa external power kama inavyosemekana ati chooni ni sehemu tata?
3.Je kuna ubaya wowote,na kama ni positive nifanyeje ili kuiboresha zaidi na kama ni negative nifanyeje kuondoka nayo?
4.Je kuna wengine wana-experience the same situation?
5.Kama kuna wajuvi zaidi wadadafue zaid hata zaidi ya niliyouliza.
Karibuni sana!