Kitikiti
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 353
- 249
Limenikuta Jana jioni. Nilifanikiwa kuhamisha pesa kwa M-pesa from my CRDB kiasi kikubwa to my phone number. Tatizo ni kuwa salio linaonyesha kuwa pesa imetoka bank, ila kwenye M-pesa hakuna kitu.
Ukiwauliza wahusika wanasema subiri masaa 24. Huu ni usumbufu mkubwa.
Angalizo: msiamini sana huduma hii, ikikukuta kwenye emergency umeliwa.
Ukiwauliza wahusika wanasema subiri masaa 24. Huu ni usumbufu mkubwa.
Angalizo: msiamini sana huduma hii, ikikukuta kwenye emergency umeliwa.