Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,294
Kama mwezi mmoja umepita niliibiwa simu yangu iPhone 6 s plus maeneo ya tazara kwenye mataa,hiyo simu masikini nilikua nmeitumia kma wiki tu.
Walicho kifanya wale vibaka walikua na bodaboda,mmoja alishuka akabaki nyuma ya gari,dereva akasongea Mbele kabisa Jaribu na kwenye bonet,walk chokifanya yule wanyuma alipokonya simu,akadandia bodaboda,wakawasha.
Nikasema sawa,nlienda polis kureport,askari akanambia nimpe laki 3 na imei Namba aitafute,nikaona hiyo nae mwizi, ntaitafuta mwenyewe.
Tangu ijumaa wiki iliyopita niliandaa silaa zangu zote moto na baridi nikaziweka kwenye gari.
Nlivyokua nikifika tazara pale kwenye mataa natoa simu kama kawaida afu Nakaa chonjo nikamate mwiz,jana bwana mtego wangu ukanasa.
Walikuja kma kawaida wakajipanga yule wa nyuma nikawa namchungulia kwenye side mirror, alivosongelea gari tu nkamdaka,yule wa Boda Boda akakimbia.
Yule Jamaa nligonga vya kutosha wakaja watu naona wakagonga mpka walivyokuja as askari,nikawaeleza tukaenda kituoni buguruni,Dogo alitaja machimbo yake yote na wezi wenzie wote wa vingunguti, Dogo yuko ndani anasidia upelelezi mpka hivi sasa.