kitoromondo
Member
- Mar 26, 2017
- 64
- 75
Ardhi huweza kupata laana ikiwa wanaoikalia watafanya mambo kinyume na imani au miiko fulani Tanzania. Mungu ameibariki kwa kila rasilimali ambazo hata hata baadhi ni adimu Duniani hupatikani Tanzania pekee tuna mito ya Maji ambayo hutiririsha Maji yake majira yote ya mwaka. Tuna Ardhi nzuri na kubwa yenye rutuba tuna maziwa lakes makubwa ambapo ndani yake wamo samaki adimu duniani Tuna Mlima Kilimanjaro mbuga za wanyama.
Gasi asilia na mengine Mengi mazuri lkn nini kinasababisha tuwe ombaomba taifa ambalo wananchi wake ni masikini kupindukia kama kweli kuna Manabii wa kweli watuambie wapi tumekosea ili kama Taifa kwa pamoja tutubu Mungu atufungulie baraka ili nasi tufaidi hizi rasilimali Mungu alotupa Manabii wa.
Kweli jitokezeni Mliokoe Taifa la Tanzania.