Selfie kwenye Pantoni hairuhusiwi

Selfie kwenye Pantoni hairuhusiwi

Babsap

Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
17
Reaction score
19
Habari zenu wakubwa. Jana nikiwa na wageni wangu kutoka Ulaya nilipokuwa nawapeleka Kigamboni tukiwa ndani ya pantoni tunapiga selfie alikuja mgambo na kusema tuko chini ya ulinzi kwani hakuna ruksa kupiga picha.

1. Ningependa tu kujua sheria hii ya kuzuia kupiga picha na sababu au hasara zake.

2. Hawa mgambo wakishaona foreigners wanajua ndio ulaji na kusema tulipe faini ya elfu 50 kwa kila picha.

Wadau naomba msaada wa ushauri kwa hili.
 
Nilipata aibu na ushauri wangu ni je sheria hiyo ipo? Kama ipo je kwa misingi ipi? Nini hasara kupiga picha?
 
Habari zenu wakubwa. Jana nikiwa na wageni wangu kutoka Ulaya nilipokuwa nawapeleka Kigamboni tukiwa ndani ya pantoni tunapiga selfie alikuja mgambo na kusema tuko chini ya ulinzi kwani hakuna ruksa kupiga picha.

1. Ningependa tu kujua sheria hii ya kuzuia kupiga picha na sababu au hasara zake.

2. Hawa mgambo wakishaona foreigners wanajua ndio ulaji na kusema tulipe faini ya elfu 50 kwa kila picha.

Wadau naomba msaada wa ushauri kwa hili.
Kabla ya kuingia ndani ya Panton pale nje zinapokatwa tiketi kuna mabango yanayokataza kupiga picha eneo lile lote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom