Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Profesa James Mdoe amesema hali ya umeme imeanza kurejea baada ya kukatika kwa umeme katika gridi ya taifa, tatizo lililotokea leo asubuhi katika...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Madakitali wanashauri kuepuka kula nyama kuepuka mafuta lakini ukweli mboga mbadala ni adimu. Wanasema tule mbogamboga lakini ukitembelea huko zinakolimwa ni sumu tupu tunakula. Wanashauri ule...
0 Reactions
3 Replies
882 Views
Habari zenu wakubwa. Jana nikiwa na wageni wangu kutoka Ulaya nilipokuwa nawapeleka Kigamboni tukiwa ndani ya pantoni tunapiga selfie alikuja mgambo na kusema tuko chini ya ulinzi kwani hakuna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau wa jukwaa hili adhimu; TANESCO yaanza operesheni ya kuwakatia umeme wadaiwa sugu zikiwemo taasisi za serikali. Shirika la umeme nchini TANESCO limeanza operesheni ya kuwakatia umeme...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamani kwa hali hii mbona kila siku bora Jana? Hivi hii sikukuu iliyo mbele yetu italika kweli? Mbona kila mtu analia hali inazidi kuwa mbaya? Na biashara mbona zinazidi kufungwa tu, vijana...
1 Reactions
9 Replies
992 Views
Hili la matumizi ya vyombo vya usalama kwa matakwa binafsi yanainua wasi wasi mkubwa sana. Tumeona sakata la kuingiliwa Clouds. Tumeona sakata la Nape kutishiwa bastola. Waziri wa mambo ya ndani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mnaolalamikia polisi kwa kitendo alichofanyiwa nape, niwaulize nani kawambia wale walikuwa ni polisi? kama bastola kila mtu ana uhalali wa kumiliki .....au hatujui sare za polisi nchini binafsi...
27 Reactions
289 Replies
29K Views
Habari wadau, Aisee kwa mtu yeyote anaeweza uandishi wa story za movie anicheki tufanye kazi.
1 Reactions
12 Replies
4K Views
MAWAKILI wawili wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wanashikiliwa na kuhojiwa na Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya yenye kifupisho cha lugha ya Kiingereza cha DCEA, kwa...
4 Reactions
26 Replies
8K Views
Zama uja na kupotea miji hufa na historia Yake ubaki kitu cha kuhadithiwa vizazi na vizazi kumbukumbu uleta simanzi nyingi sana......1581km kutoka MTWARA, 658km kutoka ARUSHA, 421km kutoka KIGOMA...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni muumini wa Kanisa la Roman Catholic. Utaratibu wa Kanisa umetenga upande wa wanaume na upande wa wanawake.Kinachonikera ni pale unakuta wanawake wanaingia kanisani na wanakuta upande wa...
11 Reactions
131 Replies
17K Views
Nisiandike mengi sana, lakini wenzangu katika kazi za ulinzi na usalama tukubaliane tu huyu jamaa ni jembe sana. Najaribu tu kujiuliza kijana yule alivyoleta dharau kwa kamanda aliyefanya mengi...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Baraza la Mitahani Tanzania (NECTA) limesema litaanza kuwasaka waajiriwa wote wanaotumia vyeti bandia katika ajira zao. Baraza hilo limesema kuwa nchi kwa sasa inakabiliwa na tatizo la kuzagaa...
1 Reactions
64 Replies
18K Views
Nimeshuhudia kama mara tatu hivi ndani ya daladala watu wanapanda bila nauli bila aibu maisha yamewapiga watu, makonda wengine Hawana huruma wengine wanasema mbona hukuniomba kabla hujapanda...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo kwenye kipindi cha Clouds360,alikuwepo mkuu wa wilaya ya Ulanga,Morogoro,akielezea jinsi gani ameshiriki kuwawezesha wakulima wa zao la korosho kujikwamua kirahisi katika suala la upandaji...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Serikali ya Tanzania inapoteza kodi ya sh. bilioni 6 kwa kila mwezi kwa kuzuia uuzaji na uzalishaji wa viroba bila kufuata. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzuia uuzaji na uzalishaji wa...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Mbali na kuzungumzia suala la hisa leo, wajasiriamali wanashauriwa kusoma baadhi ya vitabu ambavyo waandishi wameandika mada mbalimbali za ujasiriamali ikiwamo uwekezaji katika hisa. Tafiti...
4 Reactions
7 Replies
12K Views
Natumaini mko salama kabisa, Miaka kama mitatu sasa imepita binafsi naona ile kasi ya vita dhidi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI imekua ikipooza siku hadi siki.Nakumbuka miaka ya 2010 kurudi...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Itakuwa ni leo jioni kupitia BBC dira ya dunia, atakuwepo Polepole na wadau nguli wa tasnia ya habari, usikose, pia unaweza kutanguliza maoni yako.
1 Reactions
3 Replies
872 Views
Back
Top Bottom