Katika Kutimiza matakwa ya imani kwamba angalau nipitie mistari kadhaa kabla sijaingia kwenye mapambano ya Maisha, nimejikuta nafunua bibilia nikakutana na...
1Timotheo 2:1-3.
Kwanza kabisa...
Habarini ndugu zangu:
Hapa juzi kati katika vyombo vyetu vya habari kulitawaliwa na vichwa vya habari tofauti tofauti vyenye kuhabarisha kuhusu ripoti ya tafiti iliyofanywa huko roman kubaini...
Mkurugenzi amewatwanga barua wakuu wa Idara zote za serikali wahakikishe watumishi wote wanahamia Wilayani Kisarawe ndani ya siku kumi na nne(14). Atakayekaidi kuchukuliwa hatua kali. Hii...
SERIKALI imewataka wamiliki wa ardhi kuhakikisha wanalipia kodi ya pango la ardhi kwa wakati ili kuepuka kunyang’anywa umiliki wa ardhi zao.
Hayo yalisemwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano...
Pamoja na kujengewa ofisi nzuri lakini inakuwaje vyoo vyenu maji hayatoki na hakuna hata reserve tank? Ile namba ya huduma kwa wateja tupige tuwaambie kuwa nyie wenyewe hamna maji?
Msiwe Kama...
SERIKALI imeshauriwa kuangalia uwezekano wa kuanza kuuza mahindi yaliyohifadhiwa katika maghala ya wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula nchini (NRFA) ambayo baadhi yake yapo katika hatari ya...
Wakuu habari,
TRA kwa mara nyingine leo asubuhi wamenyoosha rungu lao kwa kampuni ya mabus ya Kilimanjaro kwa kutokulipa kodi.
Aidha dhahma hiyo imetokea leo jijini Arusha baada ya abiria...
Nlitegemea baada ya rais kumkingia kifua ndugu Makonda, basi Gwajima angeelekeza mashambulizi yake kwa rais. Lakini katika ibada ya jumapili ya jana eti anawaambia watu waache kumsumbua rais...
Katika uumbaji wa mungu vipo vinavyoonekana karibu hadi tunaiga na kuumba na sisi binadamu lakini katika muonekano wa mbingu nikiangalia sana nashindwa kuelewa kuwa mungu aliyumia materials...
Kama kuna mtu anajua kukata stimu watu basi Bob ni Yoko.... Kwa amri ya mkulu Ney wa Mitego yuko huru... Sababu ni moja tu jamii haikusimama naye na si maudhui ya wimbo husika.... [emoji23]...
Leo ni Siku ya mapumziko familia nyingi hutembeleana,wengine huenda mashamba,church,vikao na mengineo,ambapo usafiri binafsi hutumika sana
Nimesikia Kero kubwa leo baada ya kukosa umeme home toka...
Wadau napata imani kubwa kuwa dua aliloombewa Bw.Makonda na Mashehe wa DSM huenda ndilo linalomlinda asitumbuliwe licha ya kufanya matukio yasiyo ya kawaida Kwa kiongozi wa serikali.Naamini...
Ivi kwanini serikali yetu iko nyuma sana tofauti na nchi zingine passport ni haki ya mtanzania yoyote mwenye Umri kuanzia 18years ila upatikanaji wa passport Tanzania umekuwa mgumu sana mpaka...
Sasa imekuwa tatizo, usiku na mchana watu wanaangaika kutafuta maji. Suala hili liangaliwe kwa jicho la tatu, tunaoteseka ni sisi wananchi ambao kila mwezi tunalipia maji BUWASA. Hatujui hao...
Nimeona ni vyema watanzania tukatambua hili. Mh rais kasema wazi yeye si mtu wa kuoneshwa njia, kushauriwa. Pia akasisitiza kwamba ukishamwambia kitu afanye ndo umeharibu kwani hatofanya. Sasa...
Na kudra N.
Nimemfuatilia Magufuli toka anaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania hadi juzi. Amebadilika sana kisiasa na kimwili. Siyo yule wa November, 2015. Kimwili amezeeka haraka sana hata...
Ukitaka kuishi maisha ya kuusimamia ukweli ni vema ukawa mwaminifu katika huo ukweli bila upendeleo wowote.
Ukweli unagharama zake katika maisha ya mwanadamu,
Wapo waliofukuzwa kazi kwa...
Katika mji wa USHIROMBO club ya muziki inayotesa na kutamba inaitwa WADUTYA CLUB iliyo mjini karibu na stand kuu ya mabasi hapa USHIROMBO,
Ratiba za club hii kama nijuavyo IJUMAA zinapigwa nyimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.