Hivi karibuni serikali imetangaza kuingia ubia Na vyuo maalufu Tanzania Na Africa mashariki kwa ujumla. Vyuo hivyo ni vile vinavyomilikiwa Na kanisa Catholic ,vyuo hivyo ni Don bosco vilivyopo...
Habari wanajamvi?
Nimekuwa nikiona bidhaa mbalimbali za asili kama Asali mbichi, mayai ya kwale, mafuta ya ubuyu n.k yakiuzwa kwa gharama za juu mnoo ukilinganisha na processed goods.
Naomba...
My Take:
Hii Barua imeandikwa kimafumbo mafumbo, hawajafunguka vizuri. Ila kwa hisia zangu, hawa masheikh wanaoongelewa ni wale walioenda kwa Mchungaji Gwajima siku ya Jumapili kumtembelea na...
Mh. Rais tunakupongeza kwa juhudi zako za kupambana na wizi, ubadhirifu na ufisadi wa mali za umma ambapo imepelekea kuokoa fedha nyingi za serikali kupotea mikononi mwa watumishi wachache wenye...
Ubunge una raha yake kwa kipindi fulani,lakini pia n adha kubwa sana kwa wananchi unaowaongoza,yaani haukai ukatulia,labda ubadili namba ya simu (na wasiipate).
Saa 2 asubuhi unaamka, unakuta...
Hivi kweli mtu unaemtaja Mungu kila hotuba yako. Unaweza vamia kituo cha televisheni, on top of that unashindwa kuomba msamaha.
Aisee huyu jamaa sijui huyo Mungu anaemtaja anamwangalia kwa jicho...
MICROWAVE!!!
Important information for folks (Ladies & Gents) Using Microwave In House Or At Office....???
Pls Read It Carefully & Not Miss Out Any Points.
When was the last time you checked...
Mimi ni mtumiaji wa king'amuzi cha Azam tv. Na kuanzia mida ya mchana mpaka sasa sauti imekata. Kilichoniuma zaidi ni kushindwa kuisikiliza habari ya Makonda, ambayo karibu televisheni zote...
Watu wengi waliofanikiwa duniani mara nyingi wamekuwa wakieleza siri za kufanikiwa kuwa ukitaka kufanikiwa penda kuongelea vitu na siyo watu.
Yaani ukiongelea vitu utapata idea ya kufanya jambo...
Yale maagizo ya Mh Rais wa Tanzania , Dr Magufuli , ya kuhakikisha TANESCO inawakatia umeme wadaiwa sugu yametua kwenye maghorofa ya polisi Kurasini ( maarufu kama Maghorofa ya Relwe ).
Ni siku...
Katika ukurasa wake wa instagram msanii diamond ameweka picha yake akiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Rais wa nchi, Kinana na Paul Makonda. Lakini asilimia 90 ya wanaocomment katika picha hiyo...
Habari yenu wanajamvi.
Bila maneno mengi naomba kuelekea kwenye mada moja kwa moja.
Kwa siku saba Kigoma mjini iliyokaribu kabisa na ziwa Tanganyika imeingia kwenye tatizo la ukosefu wa maji...
Salaam wandugu.
Mungu anisamehe kwanza. Ila mm nikiona mtu anakula, kuandikia au kushika kitu kwa kutumia mkono wa kushoto,halafu ni mtu mzima, inakera sana.Inakuwaje wazazi huwaacha watoto wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.