Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukweli haufichiki, na hata ukifichwa bado utamtesa mfichaji. Tahadhari kwa waficha ukweli: Huo ni ugonjwa wa kujitakia.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa yaliyotokea leo ni dhahiri kuwa wasanii wahusika ndio wanachochea saaaana kuendelea kuwepo kwa matukio ya wasanii na wengine kutekwa, kupigwa na kupotezwa lakini cha ajabu utasikia maisha...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Naona taasisi husika zipo kimya tu, hivyo kama mzalendo nimeonelea bora tupeane tahadhari sisi wenyewe kama raia wenye uoni wa mbali kwa kuzingatia hali ya uchumi ilivyo NGUMU, NGUMU, NGUMU kwa...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Jamani naomba kuuliza, Hivi ni ushamba wangu au ni kawaida, mtoto mdogo anapopigwa picha au video ya ngono, wanaume au mwanaume anayemfanya anakua anamawazo gani?
1 Reactions
25 Replies
15K Views
Mgombea wa Miss BumBum na TV presenter Brazil amepatwa na madhira makubwa baada ya mwili kuharibika vibaya hasa mapaja na matako baada ya kuchoma sindano ya Fillers ili kunenepesha makalio na...
7 Reactions
116 Replies
37K Views
DED Kiteto, madiwani elezeni wananchi kinachofanywa na Serikali Mkurugenzi, mtendaji wa halm ya Kiteto, Tamimu Kambona, amewaasa madiwani kuwa na utamaduni wa kukutana na wananchi Mara kwa Mara...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Salam Wanajamvi Kumetokea wimbi la watu kupotea /kutekwa/kukamatwa nk.Mfano halisi ni Ben Saanane na Roma mkatoliki ila naamini kuna wengine ambao binafsi siwafahamu. Naomba kuuliza TLS au...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Leo nimepita mahali nkamkuta huyu kuku na huyu kifaranga cha bata(sijui ndo wanaitwa hvyo na wao) Huyu kuku anamlea huyu kifaranga wa bata na kila mahali wanaongozana. nilisimama nkatafakari sana...
1 Reactions
2 Replies
994 Views
Haitapita miezi miwili na pengine hata ndani ya mwezi mmoja kuanzia leo wataibuka wasanii wengine na mashairi yenye ujumbe mzito pengine kuliko hata yale aliyokuwa anaimba Roma. Sioni uwezekana...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
DED Kiteto, nitawatumikia wananchi hadi mwisho Tamimu Kambona, Ni mkurugenzi wa halm ya wilaya ya Kiteto anasema, amekuja kuwatumikia wananchi hivyo hawanabudi kumuunga mkono amedai ukifika...
2 Reactions
0 Replies
843 Views
Habari JF, huu mtandao wa TIGO sasa imekuwa kama desturi kuseize kwa muda huduma zake na kubadili vifurushi bila taarifa. University ofa ya 1500 leo inatoa 10mbs kweli? Mna agenda gani na...
4 Reactions
104 Replies
10K Views
Kwa yaliyotokea leo ni dhahiri kuwa wasanii wahusika ndio wanachochea saaaana kuendelea kuwepo kwa matukio ya wasanii na wengine kutekwa, kupigwa na kupotezwa lakini cha ajabu utasikia maisha...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Salaam,hivi karibuni kumekuwa na mdororo wa huduma za internet toka kwenye Makampuni ya Simu za mkononi,Watu wanajinyima kununua bundle lakini huduma zimekuwa mbovu mno,na mdororo unaendelea kwa...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Kilimo cha mafuta ya diesel ni sekta mpya itakayoibuka hivi karibuni na kuleta ushindani mkubwa kwa waagizaji wa mafuta, kilimo hiki kinalipa kuliko korosho. Wakulima wachangamkie fursa
1 Reactions
58 Replies
8K Views
DAR ES SALAAM: Binti mwenye umri wa miaka 12 amejikuta akipoteza haki yake ya kuwa mtoto baada ya kubakwa, kupewa ujauzito na kujifungua mtoto wa kiume. Ni sawa na kusema mtoto amejifungua...
4 Reactions
36 Replies
6K Views
Najaribu kuwaza kwa sauti Maana jamaa alikamatwa tu wakasahau kumnyang'anya simu, na jamaa akaitumia nafasi kupost Asingepostiiiii!!!!! Eeeeeeeehhhhh
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana jamvi samahani kama ntakua nimewasilisha mada kwa jazba. Kiukweli hawa Airtel wananipa karaha pale unapompigigia mtu simu na badala ya kukwambia kwanza kama namba unayopiga haipatikani au...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu zangu hii imekaaje? Nililipia kwa mpesa kifurushi cha Azam Tv. pamoja na kupata receipt ya malipo toka kwa selcom. Sikupata kifurushi wala salio halikuingia kwenye account yangu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wazee turejee swali hapo juu,utadhibiti vipi uzee ?je kwa mazoezi,vyakula,style ya maisha au nini hasa?nahtaji kuwa na body yenye ukakamavu na nguvu hata miaka 90 nikijaaliwa kufika nafikiri kila...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wadau habari! Naomba ushauri wenu katika mpango wangu wa kumiliki chombo cha usafiri ambacho ni baiskeli. Nimekuwa na ndoto ya kumiliki gari mda mrefu lakini mambo yanavyoonekana ndoto hii...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom