Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, Majambazi yenye silaha za moto na usafiri wa pikipiki usiku huu yametembelea vibanda ya pesa kukusanya mapato ya leo. Nikiwa mita chache na kibanda ya pesa (max malipo,tigo,voda...
12 Reactions
107 Replies
13K Views
Hii benki nimekua nikiisikia.muda sasa Kwa hapa arusha wanapatikana wapi kwa sisi tuonaoishi Usa-river tutawapataje?Au tutawafikiaje?
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Niombe tupeane elimu kwanza kabla hatujaitimisha: Kimataifa inasemekana mipaka katika maziwa huwa katikati na ndivyo walivyofanya wakoleni kuweka mipaka katika ziwa Victoria na ziwa Tanganyika...
0 Reactions
1 Replies
663 Views
Hakuna anayepinga sekta ya elimu nimoja ya sekta muhimu sana ila ajabu nipale sekta hii kukosa ule mvuto nakukosa hadhi hasa upande wa umma. Haiingii akilini wamachinga wapige kelele kidogo tu...
7 Reactions
42 Replies
5K Views
Askofu Gwajima katika Ibada ya Jumapili amezungumzia vitu/watu watatu nchi Tanzania. Amezungumza kuhusu Diamond kumshambulia katika wimbo wake, na amesema mtu wa Mungu huwa hashambuliwi na...
21 Reactions
439 Replies
68K Views
Jana nimefanikiwa kusikiliza kipindi cha Radio One Chemsha Bongo kuna kitu nimejifunza,kuna maswali ya kawaida tu Yaufahamu zaidi ila wengi waliopiga Simu walikua wakishindwa kuyajibu. Mfano Jina...
10 Reactions
35 Replies
9K Views
Usanii ni tasnia ya kitaaluma na ajira kama nyingine za uhandisi, uwakili, upishi, ufamasia, udereva, upolisi na ualimu. Lakini wasanii wao wametokea kufanywa ni privileged profession. Kitendo...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni ukweli ulio wazi kuwa Kiuchumi Tanzania kwa hii miezi kadhaa haisogei na yawezekana hata Uchumi nao sasa ukawa ' unadorora ' tu kwa mambo yafuatayo: Wananchi wana hofu kubwa Hawawaamini tena...
1 Reactions
0 Replies
630 Views
TABOA wasitisha mgomo baada ya makubaliano na Waziri Mbarawa ya kurekebisha mapungufu yaliyofanya watake kugoma ndani ya siku 14. Wakati huohuo, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Iliwahi kuripotiwa na vyombo vya habari EA radio au Clouds tukio la mtoto aliyeibwa na kutupwa ktk makaburi ya ununio yajulikanayo kama mji mkuu wa ununio.Wezi wa mtoto wakiwa na pikipiki walipaki...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Lowassa alisafishwa, Wema alisafishwa, Sumaye alisafishwa na Kingunge alisafishwa kutoka kuitwa mganga wa kienyeji hadi kuwa Babu wa mabadiliko nchini. BAVICHA walisugua kwa kila aina ya sabuni...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Makamanda wa North Korea katika moja ya gwaride lililofanyika Pyongyang. Hawa makamanda wana nyota mpaka kwenye suruali , Shati lote limechafuka nyota na alama zingine Je hawa mageneral...
2 Reactions
16 Replies
6K Views
Wandugu kwa mtizamo wangu gharama ya kutafuta Ugali ni Ndogo sana kuliko gharama ya kutafuta haki,ukiwa mwenye familia inayokutegemea zingatia kutafuta Ugali wa familia vinginevyo familia yako...
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Huenda unakaa unajidanganya, huenda unajua kama hueleweki lakini huna cha kufanya, Lakini mzee tambua hueleweki kabisa. Ndani ya uongozi wako utapata Shida sanaaa mpk ueleweke kwakuwa %100...
21 Reactions
57 Replies
6K Views
Suala la kutekwa kwa wananchi si suala nyeti kwa bunge letu. Wapi kama taifa tunaipeleka nchi yetu,hivi kutekwa kwa raia wenye dhamana na nchi yao si nyeti lakini faru john kufa kwake gharama...
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Uonevu ni mbegu mbaya sana,watu wanatekwa wenye mamlaka wako kimya,watu wanauliwa wakubwa wanafumbia macho lkn tambueni hata nyinyi siku yenu ipo
0 Reactions
2 Replies
688 Views
Nashukuru waandishi wa Habari wamejua kazi zao kwa Sasa Magazeti naona yakijiendesha kama Magazeti ya New York Times, The Washington Post, The Guardian, The Telegraph, Daily Mail, L'Alsace-Le...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ukweli haufichiki, na hata ukifichwa bado utamtesa mfichaji. Tahadhari kwa waficha ukweli: Huo ni ugonjwa wa kujitakia.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa yaliyotokea leo ni dhahiri kuwa wasanii wahusika ndio wanachochea saaaana kuendelea kuwepo kwa matukio ya wasanii na wengine kutekwa, kupigwa na kupotezwa lakini cha ajabu utasikia maisha...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom