Negan The Dead
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 340
- 994
Salam Wanajamvi
Kumetokea wimbi la watu kupotea /kutekwa/kukamatwa nk.Mfano halisi ni Ben Saanane na Roma mkatoliki ila naamini kuna wengine ambao binafsi siwafahamu.
Naomba kuuliza TLS au wanajanvi wenye uelewa wa sheria.Polisi au mtu akijatambulisha kua polisi na anataka kupeleka kituoni haki zangu ni zipi?Je nikiuliza kitambulisho nikatolewa bastola au SMG nafanyaje.
Nimeuliza maswali haya ili kuweza kupata uelewa bila kuathiri kazi za kipolisi.Na vile vile nimeuliza ili kuondoa sintofahamu ambayo imeibuka ya watu kuambiwa wanapelekwa polisi kumbe wanapelekwa sehemu tofauti.Vile vile sidhani kama polisi wote wa nchi wanafahamu haki za raia.Kwa hiyo majibu yatakayotolewa yatasaidia kutoa elimu sio kwa raia tuu, bali hata baadhi ya polisi!
Ahsanteni kwa majibu yatakayotoka!