jacobinho
Member
- Feb 10, 2017
- 6
- 12
Leo nimepita mahali nkamkuta huyu kuku na huyu kifaranga cha bata(sijui ndo wanaitwa hvyo na wao)
Huyu kuku anamlea huyu kifaranga wa bata na kila mahali wanaongozana.
nilisimama nkatafakari sana
nkajaribu kurudi katika maisha yetu wanadamu ya kawaida. Nkajiuliza hivi kuna bata tunalelewa na kuku??
Au kuna kuku wanalea bata katika maisha yetu.
na kama ndio ni katika mazingira yapi.
na je ni sahihi au sio sahihi?
Ila bado natafakari naombeni msaada walimu wenzangu
Msaada tutani.....