Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeshangaa sana BASATA kwa kukaa kimya dhidi ya wimbo mpya wa Dai ambo kwa uwazi mapana kabisa ameimba kwa maneno ya uchochezi na kuhamasisha watu kupuuzia kampeni halali ya kitaifa dhidi ya...
9 Reactions
40 Replies
7K Views
Watu wawili wamefariki dunia akiwemo mwanamke mmoja mjamzito baada ya kuzama katika mto Lihanje wakati wakivuka mto huo kwa kutumia mtumbwi kwenye kijiji cha Nambendo mpakani mwa Tanzania na...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
TANZANIA HAKUNA AMANI, KUNA UVUMILIVU. Ni siku 18sasa, Afisa wa Usalama wa Taifa aliyemshikia Bastola aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa na michezo Mhe. Nape M. Nnauye (Mb) akimzuia asiongee na...
6 Reactions
51 Replies
5K Views
Mtanzania akifanya kazi, chini ya Usimamizi! Mtanzania akifanya kazi kwa bidii, chini ya Usimamizi! Mabwana Afya wa Kitanzania wakijiandaa kwenda kupambana na magonjwa ya kuambukiza, chini ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kufuatia yanayoendelea hapa nchini hasa ya kutekana na watu kupotea kimya kimya ni dhahiri kuwa kuna tatizo kutokea juu, juu kwa waliopewa madaraka makubwa kabisa ya vyombo vya ulinzi na usalama...
1 Reactions
6 Replies
946 Views
Miaka ya nyuma tulikuwa tukiambiwa swala la kulinda amani na kweli tuliona viongozi wakiyaishi waliyoyasema, Kwanini zama/kipindi hiki tunasisitizwa na ndio kwanza inaonekana kutoweka? Mfano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hiki chama cha wafanyakazi kinajiita tucta kiliopa serikali siku kumi na NNE kusitisha kukaaa wafanyakazi asilia 15% ya mkopo wa bodi ya wanafunzi mpaka sasa kimyaaaa. Nyamafu sijui wa nadhani...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kujichua(Masturbation) ni kosa nchini Indonesia na adhabu yake ni kukatwa kichwa. =================================================== Indonesia: decapitation Most search results would have you...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limemkamata mtuhumiwa Musuguri David (29) anayedaiwa kumuua mpenzi wake Samira Masoud (34) kwa kumchinja kisha mwili wake kuwekwa katika...
2 Reactions
68 Replies
13K Views
Habari wakuu , Juzi kwenye tamasha la xxl Dodoma nilisikia serikali inampango wa kusomesha watz 820 ktk fani mbalimbali. Nilipoulizia mchakato ukoje nikaambiwa tayari tangazo limesha toka na...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Mkazi wa Kijiji cha Keisangora, Wilaya ya Tarime Mkoani Mara, Mwita Magige, amekatwa mkono wa kushoto kwa kile kinachodaiwa kushindwa kulipa deni la sh 300,000 baada ya ng’ombe wake wane kukamatwa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
KIJANA AKATWA MKONO KWA DENI LA TSH 300,000 Mkazi wa Kijiji cha Keisangora, Wilaya ya Tarime Mkoani Mara, Mwita Magige, amekatwa mkono wa kushoto kwa kile kinachodaiwa kushindwa kulipa deni la sh...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Habari za wakati huu wana jf ! Nimekuwa na ukakasi juu ya nidhamu iliyopo makazini tangu utumbuaji wa majipu uanze. Binafsi nafikiri nidhamu iliyopo ni ya woga na sihalisi, washabiki na serikali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, Hivi sasa kuna shindano linaendelea kwa jina la Free Car Giveaway. Hili ni shindano ambalo Mshindi mmoja atazawadiwa gari moja na washindi wengine 105 watazawadiwa kuponi. Baada ya kuona...
2 Reactions
74 Replies
11K Views
Roho ya MUNGU ndio hutafsiri ndoto Kobe huyu mwenye hili gamba la chuma hujivuna na kupita kwenye MOTO MIIBA NA JUA KALI kwa malingo akijua kuna Gamba mgongon limkingalo na adha zote...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Tanga zimeanza kuleta madhara baada ya kusababisha kifo cha mtoto mmoja kwa kuangukiwa na ukuta huku mwingine akijeruhiwa. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga...
0 Reactions
8 Replies
859 Views
Madaktari wanaume nchini Bahrain hawaruhusiwi kuyaangalia maeneo nyeti ya wanawake na kama ni kuyachunguza basi huyachunguza kwa kuangalia kwenye kioo.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
afrika ni ndugu alisema hata nyerere na mandela. kwa kuwa sisi watanzania tuna rasilimali nyingi sana ila viongozi wetu hawajui jinsi ya kutunufaisha watanzania nashauri baadhi ya rasilimali...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Naomba kuweka mada hii mezani, Nashindwa kuelewa sisi watanzania tumelogwa na nani tunashindwa kujadili maendeleo yetu sisi na wanasiasa tunaowategemea kila siku ni kesi mahakamani haziishi na...
0 Reactions
3 Replies
815 Views
Habari waungwana, Ndoto ni kitu ambacho ima humpa mtu faraja au kunyima raha kabisa inategemea sana na misingi ya mhusika kwa namna anavyozichkulia ndoto. Lakini huku mtaani, kazini na hata...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom