Ded Kiteto, madiwani kuweni kwa wananchi

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
DED Kiteto, madiwani elezeni wananchi kinachofanywa na Serikali

Mkurugenzi, mtendaji wa halm ya Kiteto, Tamimu Kambona, amewaasa madiwani kuwa na utamaduni wa kukutana na wananchi Mara kwa Mara na kuwaeleza kinachofanyika,Serikalini

akizungumza hivi karibuni Kambona amesema Serikali inapata wakati mgumu kwa wananchi kueleza inachokifanya wakati kazi hiyo ingeweza kufanywa na,diwani

Alisema ili,kufanikiwa katika miradi ya wananchi kila mtu awajibike katika nafasi yake

kwa upande wa baadhi ya madiwani wamekiri kutoeleza wananchi kinachofanywa kwa kushindwa kuitisha,mikutano kutokana na sababu mbalimbali zikiwepo kukata tamaa kwa kutosomwa mapato na matumizi,ya vijiji
 
Back
Top Bottom