Huo ni ugonjwa wa akili unaitwa pedophilia, yaani mhusika anakua anavutiwa kingono kumtazama au kufanya na mtoto mdogo.Jamani naomba kuuliza hivi ni ushamba wangu au ni kawaida,mtoto mdogo anapopigwa picha au video ya ngono,wanaume au mwanaume anayemfanya anakua anamawazo gani..
Nimemsikia MTU mzima anatetea nimewaza mpaka naskia homa.kumbe ni ugonjwaHuo ni ugonjwa wa akili unaitwa pedophilia, yaani mhusika anakua anavutiwa kingono kumtazama au kufanya na mtoto mdogo.
Ulaya mashariki kuna soko kubwa la biashara hii, kutokana na umaskini unaweza kuta mzazi mwenyewe anaamua kumuuza binti yake kidogo kidogo.
Hivyo hapo mtu anakua hawazi kitu, anakua anawaza namna atakavyoridhishwa kwa kutazama ngono ya mtoto mdogo au kufanya naye kabisa.
Yea watu wanavutiwa na vitu vya ajabu sana mfano kuna kitu kinaitwa 'omorashi' yaani mtu anavutiwa kingono kumuona mtu wa heshima akijikojolea.Nimemsikia MTU mzima anatetea nimewaza mpaka naskia homa.kumbe ni ugonjwa
Nafikiri boarding school kwa Shule za msingi zifeee jamani,majela ya Watoto ,kulaza ndugu na mtoto Kitanda kimojaMuda mwingine huwa naona kama mungu anachelewa tu kurudi, sijui watoto tutawalinda vipi na hii dunia iliyooza
Nishakataa kumpeleka mtoto wangu bording na nishamwambia wife iwe niko hai ama nisharest. Yaani hata kama ni bording inasimamiwa na shekhe ama askofu asijaribu.Nafikiri boarding school kwa Shule za msingi zifeee jamani,majela ya Watoto ,kulaza ndugu na mtoto Kitanda kimoja