tambikagani
Member
- Feb 15, 2017
- 49
- 21
Salaam,hivi karibuni kumekuwa na mdororo wa huduma za internet toka kwenye Makampuni ya Simu za mkononi,Watu wanajinyima kununua bundle lakini huduma zimekuwa mbovu mno,na mdororo unaendelea kwa kasi sana.
Tukutane hapa kwa ajili ya mjadala wa wazi,nini kifanyike.,Binafsi nimejaribu makampuni yote lakini hakuna lenye unafuu.
Tukutane hapa kwa ajili ya mjadala wa wazi,nini kifanyike.,Binafsi nimejaribu makampuni yote lakini hakuna lenye unafuu.