Pamoja na maneno mengi juu ya Police, kuna Police wengi sana Tanzania wanayofanya Majukumu yao kwa weledi na kulinda Maslahi ya wananchi kwa kufuata taratibu za nchi ....
Hebu tupia...
Kamanda wa Polisi Dar Simon Sirro amemkamata askari feki aliyekuwa amevaa uniform za kakaake na kujifanya polisi,
Mtuhumiwa huyo aitwae Paulo Baruti wa Mpanda Katavi alisema nguo hizo ni za...
Nilituma maombi ya kazi hapo tbl ilikuwa tarehe 13/03/2017 katika category ya IT, sasa leo saizi kuna jamaa kanipigia na kuelezea application yangu na kunitaka nitume 25,000/=TSH kwamba...
Kila nikitazama ulimwengu ninaona tuna deni kubwa sana kwa Mungu wetu. Tuliopewa uwakili wa kuisimamia ardhi, wanyama, mimea, ndege, bahari pamoja na kila kitambaacho ardhini tumekwenda tofauti...
Mazishi ya mkuu Sir Andy chande (88 years) aliyefariki huko Nairobi Kenya yanatarajiwa kufanyika Jumanne ijayo kwa mwili wake kuchomwa moto mpaka kuteketea wote (cremation.)
Wageni zaidi ya 300...
Kwa haya nitakayoyaandika hapa simlazimishi Mtu yoyote akubaliane nayo japo ningependa mtulize akili zenu kiumakini kabisa ili muweze kupima kisha mwishoni tunaweza kuelewana lakini pia nitafurahi...
Huko tuelekeako kuna dalili za kuzaliwa upya kwa jiji la Dar-es-Salaam na kuwa jiji linalostahiki hadhi yake kwamba ni jiji la maraha na linaloheshimika katika ukanda huu wa Afrika Mashariki...
Mimi ni kijana umri miaka 21 ,nimemaliza kidato cha sita mwaka jana ila matokeo hayakuwa vizuri nilikosa credit moja kuwa nA kigezo cha kusoma degree.
Hivyo nilijiunga kusoma diploma ya IT chuo...
Uhalifu wowote ili utokee ni lazima pande tatu zihusike nazo ni Mhalifu, Mfanyiwa uhalifu, na Fursa ya kuruhusu uhalifu kufanyika. Hivyo watekaji wopo na watekwaji wapo na hakuna nanma ya kundoa...
Habari zenu wana jamiiforums wote ninaimani mpo na afya njema na hatunabudi kumshukuru mungu kwa hilo. Leo nimelileta swali jipya kabisa kwa wabongo wanaoishi au walishawai kufika/kuishi...
Hivi kweli logically tu Mtu unaweza ukawa umepatwa na mateso ya karibia na kuuliwa pengine yaliyoambatana na ' ufirauni ' mwingine halafu ukakosa nguvu na ukawa hujiwezi kabisa na huku damu...
Ripoti ya faru john mnyama aliyethaminiwa na serikali baada ya kufa mpaka kutishia ajira za watu imetoka na inaonesha amekufa kwa kukosa matibabu,kukosa matibabu?wakati alikuwa anaiingizia mamlaka...
Habari za majukumu wana jukwaa!
Nina huhitaji sana wa kitabu tajwa hapo juu. Mwenye nacho au mwenye kujua naweza kipata wapi anijuze.
Asanteni kwa msaada in advance.
Nimekutana nayo kwenye group moja la whatsap. Wadau please tusaidiane kutangaza, tena ukizingatia enzi hizi za Baba Bashite.
Kwa details zaidi soma ujumbe kutoka kwa mdau mwenyewe.
Mbarikiwe...
Ndg wanajamvi, amani iwe juu yenu,...
Tumeingia wiki ya pili sasa, kwenye headlines za magazeti na mitandao ya jamii, Mada inayoongelewa kwa upana mkubwa ni "kutekwa kwa Roma Mkatoliki"
Hizi ni...
Njia hizi zimevikwa vazi la dini nazo ni
a. Ndoto
b. Maono
c. Miujiza
UFUATAO NI MCHANGANUO WAKE
A. NDOTO JINSI ZINAVYOTUMIKA KUTEKA NYARA WATU;
Baadhi ya watu wanaodai kuwa Watumishi wa Mungu...
Jana Jumanne Aprili 11, 2017 Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga ametoa tamko lililoambatishwa kwa vyombo vya habari kuhusiana na matukio ya...
Leo ilikuwa ni siku ya kuwa wazi kile kilichomkuta msanii Roma na ikaelezwa saa 8 ndio atakutana na wanahabari. Lakini waziri amevamia mkutano huu na ni wazi kabisa Roma kabanwa asipate muda...
Wakuu
Mimi nauliza utaratibu ukoje Kwa mtu binafsi akitaka kulindwa na polisi nyumbani kwake.
Je kuna gharama zozote ambazo itanibidi nilipie?
Au ni nani mwenye mamlaka ya kunipa huo ulinzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.