Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,486
- 11,737
Wadau habari!
Naomba ushauri wenu katika mpango wangu wa kumiliki chombo cha usafiri ambacho ni baiskeli. Nimekuwa na ndoto ya kumiliki gari mda mrefu lakini mambo yanavyoonekana ndoto hii haitafikiwa.
Nimeona mbadala nimiliki hata baiskeli ili nitimize ndoto yangu ya kumiliki chombo cha usafiri katika maisha yangu.
Naomba ushauri wa ni aina gani ya baiskeli ni nzuri zaidi, hapa nazungumzia baiskeli zile kubwa kama wanazoendesha wasukuma kwenye mashindano kama avon nk.
Nawasilisha kwa msaada wenu.